Recent content by richclassic

  1. richclassic

    JamiiForums Tanzania CCM wanapolazimisha mafuliko

    kinachoendelea sasa hivi Meatu kwa CCM ni maigizo hivi sasa gari ya matangazo ya CCM linapita maeneo mbalimbali ya wilaya ya Meatu ikiwatangazia wananchi kuwa kesho 12/9/2015 mgombea uraisi wao atakuwepo meatu kwa hiyo wananchi wanaombwa kujipanga barabarani haswa centre kutawepo gari za kubeba...
  2. richclassic

    JamiiForums Tanzania CCM watangaza mkutano Meatu

    Saizi Ccm wako Meatu wanatangaza mkutano magufuli atakuwa meatu mkoani simiyu kwani watu wameambiwa wakae barabarani centre za vijiji kuna magari yatapita kuwabeba ilikuwaleta meatu mjini.Tutazidi kuwahabarisha kinachoendelea
  3. richclassic

    JamiiForums Tanzania Mahojiano (EXCLUSIVE INTERVIEW) ya JamiiForums na Khamis Kagasheki

    niunge namba yangu ni 0764244750
  4. richclassic

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    ushauri wangu kuhusu bandle ya internet mmepunguza sana na ofa za dakika chache mno ukilinganiza na mitandao nyingine kama airtel napenda sana vodacom lakin naelekea kukata tamaaa sana jaribuni kurekebisha tena sitasahau my number one ilipendwa sana na watu wengi sana lakini saiz hakuna ofa ya...
  5. richclassic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwa thamin wazazi wetu

    daaah wazazi wengine balaaa
  6. richclassic

    JamiiForums Tanzania wanasheria hawasemi uongo

    haaaa nooma sana
  7. richclassic

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya mwanasheria rwegashora.

    haha haaaaa hii kali ya mwaka
  8. richclassic

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba hodi humu ndani

    karibu xana
  9. richclassic

    JamiiForums Tanzania Hii habari kutoka HESLB ina ukweli?

    haina ukweli maana sio awamu ya pili tena hii ni awamu ya nne
  10. richclassic

    JamiiForums Tanzania Ntawezaje kutumia airtel yatosha bundle wakati nina deni?

    Msaada jamani nataka kupata bundle la 1GB la airtel nifanyeje ili nipate naombeni msaada kwa yule anayejua anisadie kwa bei nafauu
  11. richclassic

    JamiiForums Tanzania Airtel, watoa Whatsapp, Tweeter na Facebook Buree pindi ununuapo Kifurushi (yatosha)!

    Hakuna cha bure kwa maana ili kuaccess mpaka yatosha ujiunge inamana ubure ukuwapi hapa kwa nini wasiwe kama tigo
  12. richclassic

    JamiiForums Tanzania Tuijadili rasimu mpya ya katiba na siyo kumjadili jaji warioba.

    mimi naona joseph warioba hanamakosa amefanya kazi ya kusimamia maoni ya wananchi kwa maana kilocho pendekezwa ndani ya rasimu ya katiba ni maoni ya wananchi na siyo ya mh warioba cha msingi wanaomlala mikia joseph warioba hakuna maana kikubwa wafanyenye kila jambo tupate katiba mpya
  13. richclassic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume avuliwa nguo na kuvishwa kanga na kisha kutembezwa mtaani baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Daaah kufumaniwa nooma
  14. richclassic

    JamiiForums Tanzania Je wajua suluhisho kwa uume uliolegea?

    fanya mazoezi
Back
Top Bottom