Manjonjo ya mwanasheria rwegashora.

Transman

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
796
525
Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurud nyumbani Bukiba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake alinuona mtanashat na mdada mmoja mrembo anakuja ofis.
ini kwake akajua ni mteja anamletea kesi.
Ndipo akanyanyua mkoni wa wa simu ya TTCL na kuanza kuongea huku anajizunguusha kwenye kiti cha kuzunguuka.
Wakati mdada alipokaribia Rwegashora alimkaribisha kwa ishara maana alijifanya yupo busy na kuongea na simu ya umuhimu.
Wakati anaongea na simu akiskika akisema No,No;No..... Absolutely No. Wajuulishe hao lay person wa New York kua siwezi kushuhulika na kesi ambayo itanilipa chini ya 50 million. Mimi ni profesional lawyer and im crossing the border to sarve international community.
Aka pose kidogo na akanywa maji kisha akaendelea.....
Naweza kuanza kukusanya primary evidence next weak but tell them watume kwanza ten million kwa kuanza...
Hahahahaha you dont know my Account Mr Roger. Ok waambie watume kwenye Account ileile waliomitumia million 100 last month...
Aka pose tena akameza fundo la maji na kurekebisha tai yake kisha akaendelea...
Ok usisahau kumueleza muendesha mashtaka mkuu wa marekani kua ntakuja New York mwezi ujao maana nitapita kwanza Amsterdam kuwasilisha utetezi wa yule mteja wangu mholanzi kisha nitaenda Tokyo kulipia ile gari yangu niloagiza.
Wakati anaongea hayo yote yule mdada alikua ametulia na anamuangalia Bwana Rwegashora anavyojizunguusha kwenye kiti chake huku akiongea kwa tambo kwenye ile simu ya TTCL.
Baada ya kumaliza kuongea na simu Bwana Rwegashora aliweka mkono wa simu yake ya TTCL chini kisha akamgeukia mdada mrembo.
Samahan sana kwa kukupotezea muda wako unajua tena kazi zetu zinaumiza kichwa sana kama unavyoona mwenyewe yaani niko busy sana ninapokea simu sana mpaka nimechoka na simu nyingi ni za wateja wa njee ya nchi. Anyway nikusaidie nn?
Mdada akajibu mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya TTCL nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani tangu wiki iliyopita:confused::confused::confused::confused:
hhahahaha najua utatamani kuiona sura ya Bwana Rwegashora ilikuaje.
 
Ningekuwa ni Mimi wakili Msomi Rwegashora ningemwambia kuwa nilishajiunganishia mwenyewe, kwa hivyo naomba uondoke...
 
Back
Top Bottom