Recent content by richald j.donald

  1. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Tujaribu kuingia YouTube tuandike hii kitu tione kweli haipo nimejaribu pia nikaona kimiminika fulan cheusi dizain kama oil mpya hivi wakasema no black mercury pia haipo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Hii sio mjeruman bro ni natural kama ilivyo UR na mengine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Matajir wakubwa wakubwa wanaweza patikana hapa watuambie kina BM,Abood na wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  4. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Nasema hii mambo wadau huwa IPO live kabisa naamini mm nimewah yaona na kuyapata sehem ila sema aliyekuwa nayo ni bibi mmoja akasema yeye aliomba ya dawa hivyo hatoi sasa imajin haya yanamazingira gan Sent using Jamii Forums mobile app
  5. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Kiuhalisia haya man yapo tens yanapatikana ila ukiw mstarabu kuyatafta unapata inasemekana gram moja inaenda had USD mil 8~ but inshu kubwa kweli nikuiata hebu tizama kidogo video hiyi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. richald j.donald

    Biashara ya maji ya Mecury

    Jamani naona watu kibao wanaparangana kutafuta haya maji ya mwamba. Sasa naomba kuuliza, pia mmoja ama kama kunamtu anaconnection ya uhakika ya soko la hii kitu naomba tutafutane. Kama wewe nitapel usihangaike, nahitaji watu wa ukweli Sent using Jamii Forums mobile app
  7. richald j.donald

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    kutana ostadhi ramadhani bingwa tiba asilia anasaidia ndoa,biashara,mapenzi,nyota,mvuto,uzazi,Pete,nguvu uume,masomo,kupata Mali,shepu wakike,piga0763830190
  8. richald j.donald

    Mume anahitajika

    Mmh
  9. richald j.donald

    Msaada wa kurefusha ndevu

    Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana nataka kama za rick rose mwenye utaalam sana naomba nijuze hata kwa PM
  10. richald j.donald

    Hallow guys

    Unataka nikutumie
  11. richald j.donald

    Hallow guys

    Mm Rich man don man member mpya jamani hodiiii!
  12. richald j.donald

    Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Atapata kwa ngaz ya Diploma ama na je mkopo utamuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. richald j.donald

    Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Kunamdogo Wang kamaliza sec form four mwaka 2008 amesoma masomo ya arts na alipata D flat kwa masomo yote history, giografia, math, biology, kisw,civic, English, zote anaD atapata nafasi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom