Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Kwa matokeo haya o level math B chemistry B+ physics C biology B....na advance.. Ni physics D chemistry D adv/math E je possibility ya kupata chuo cha majii IPO in bachelor???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu WI... Mimi nina ufaulu huu nataka Water labo...
Bios C
chem D
geog D
math E
eng D
kisw B
hist C
civ C.... Nitapata kweli... Msaada plz
 
Mkuu WI... Mimi nina ufaulu huu nataka Water labo...
Bios C
chem D
geog D
math E
eng D
kisw B
hist C
civ C.... Nitapata kweli... Majibu plz
 
jaman naomba mnisaidie kupata link yakujoin watsup group la Pre universities 2017 au mniadd kwenye 0738236533
 
Tulishapeleka taarifa kwa ajili ya ku-update kitabu chao. Kwa mfano, mwaka wa Masomo 2016/17 tulisajili wanafunzi wa Bachelor 241 ambao ni zaidi ya mara 3 ya hiyo Admission uliyoisema. Karibuni sana.
Vipi kuhusu wanafunzi ambao wanachaguliwa directly hapo
Je,wanalipa kila kitu
Je,mkopo wanaweza kupata hapo
Je,maandalizi yao inatakiwaje?!
 
Majibu yanatoka lini kwa tulioapply bachelor of water resources&irrigation engnearing mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Taratibu za Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), majibu yatatangazwa pale deadline itakapofika na tutakapo watumia majina na sifa za applicants na wao kuyapitisha.

Ila kwa ngazi ya Diploma tumeshatoa Batch ya kwanza na ya pili.

Maombi ya kujiunga na Chuo cha Maji bado yanapokelewa hadi Tarehe 20 September 2017.
 
Mpaka Diploma mwisho ni 20 sept...?
 
Back
Top Bottom