Recent content by Rich Woman

  1. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Beautiful

    Ukirudi kutoka mbugani utalifata 😆
  2. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Beautiful

    Nitakuletea tranka hilo hakuna kitu itapenya hapo
  3. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Beautiful

    Kama mchwa basi kibubu chako kiko hatarini, maana hao hawajui mzaha wakianza kazi 😂
  4. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Beautiful

    Huyo mbususu anaonekana hana huruma kabisa 🤣🤣🤣
  5. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Beautiful

    Weka kibubu
  6. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya massage ambayo ni mazuri

    Mafuta ya nazi, almond, parachichi, olive Oil na grapeseed oil. Bei inategemea na ujazo unaotaka inaweza kuanzia 12,000/- na kuendelea.
  7. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Nazitafuta sana hizi perfume. Wapi nitazipata kwa DSM?

    Jaribu kucheck kwa Pablo Perfumes, yuko City Mall
  8. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Tupike makande

    Haya makande yanaonekana matamu . Nimependa jinsi ulivyopika, sijayala siku nyingi nitatumia recipe hii nikiyapika tena.
  9. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

    Hili la kutunza muda, safari bado ni ndefu.
  10. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Nini hukufanya ununue Dawa na kujitibu mwenyewe pasipo kwenda Hospitali kwanza kufanya Vipimo?

    Kutaka kupata nafuu ya maumivu haraka
  11. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

    Hii mbegu ya parachichi haina ladha ya uchungu?
  12. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Kweli kuishi na Mwanamke kunahitaji hekima

    Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote. 1 Petro 3:7
  13. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TCRA yavifungia Vituo vya Redio na TV vikiwemo Star TV, Uhuru FM, RFA...

    kwwenye post yako ongeza pia ni lini wanaanza kutumikia adhabu yaani tarehe 18 January, Jumatatu
  14. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TCRA yavifungia Vituo vya Redio na TV vikiwemo Star TV, Uhuru FM, RFA...

    Adhabu inaanza tarehe 18 yaani Jumatatu, lakini kama mtu atalipa kabla ya hiyo siku atafunguliwa
  15. Rich Woman

    JamiiForums Tanzania Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

    Wenye pesa pekee ndo wana haki ya kutongoza??
Back
Top Bottom