Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

kubwa_Lao

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
934
1,185
Wadau bila shaka mko poa!!
Hivi ni mbinu zipi ambazo hutumika ili kumtongoza demu unaekutana nae kwa mara ya kwanza.

Nisaidieni mana courage hiyo sina ila nahitaji sana niweze
 
Last edited:
Wadau bila shaka mko poa!!
Hivi ni mbinu zipi ambazo hutumika ili kumtongoza demu unaekutana nae kwa mara ya kwanza.


Mwambie tu shikamoo, hivi nilikuona wapi vileeee? Mboo ikisimama, mwambie sasa dada utanisaidiaje hapa? Akikupiga kibao cheka kwani kibao cha mapenzi hakiumi, vumilia tu.
 
Mshike kalio umuulize tuishieni unasomea wapi? twaweza badilishana matilio ya civics?

Mueleze pia shule zimefunguliwa lkn umevuta kwa kuwa ww Dogo Lao. Hapo mtongozo kw!shne!
 
Pole sana unafanya kazi? Una hela ? Nahisi kama una hela basi wewe bahili. Kama sio bahili fanya yafuatayo.

Dada mambo? Mm naitwa fulani sijui wewe waitwa nani? Basi naomba no yako nitakutafta. Akikupa ukifika home mpangie hewani sio unatuma mi sms utadhani ni notes za history. Kwenye maongezi mwembie unaomba mkanywe soda sehemu. Fanya haya urudi hapa kwa mrejesho toa utoto hapa
 
juc an advice,kama hauna something special kinachoweza kukutofautisha na wanaume wengine wa kawaida kama pesa etc..huwezi kumtongoza msichana kwa mara ya kwanza akakukubalia "labda awe kipori" lakini njia rahisi ya kumpata ni kutengeneza kwanza urafiki naye alafu mambo ya kutongozana baadae
 
Duh bado zama izi kuna kutongoza ww mwambie una shida na kikojoleo chake basi
 
lazima huyo binti atakuwa ni dent sasa chakufanya mnunulie lolpop mpelekee akikiliza ya nini mwambie unahisi anapenda kunyonya mengine utamalizia mwenyewe uko
 
Back
Top Bottom