Karibu tujuzane viungo vya chai ya rangi

Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Messages
702
Points
1,000
Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2019
702 1,000
Daaah!mchanganyiko wa "ankasus"wenyeji wa pwani (tanga,pemba,unguja)wanavijua vizuri hivi viungo.πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
92,310
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
92,310 2,000
Mie chai ya rangi niwekee mchai chai tu na hiliki kidogo na vitumbua kama saba hivi na mchuzi wa kuku mkata mitaa si yule anayependa kubweteka.

Habari zenu wapishi.
Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
 
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
15,375
Points
2,000
Meeyah

Meeyah

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
15,375 2,000
Mie chai ya rangi niwekee mchai chai tu na hiliki kidogo na vitumbua kama saba hivi na mchuzi wa kuku mkata mitaa si yule anayependa kubweteka.
Vitumbua na mchuzi wa kuku? Hainogi bana
 
kalipeni

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
758
Points
500
kalipeni

kalipeni

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
758 500
Usipoteze muda na nguvu nunua tea masala. Hautaitaji kuongeza chochote.
 

Forum statistics

Threads 1,304,320
Members 501,332
Posts 31,510,571
Top