Sio watanzania tu, lakini kwasababu swali ni kuhusu Tanzania sababu kubwa ya sisi kupiga majungu ni kukosa upendo,, mtu yoyote aliyekosa upendo atakuwa mtu wa majungu, atakuwa mtu wa Chuki, hata penda maendeleo ya mwenzake, tuwe na upendo, tuwe watu wa haki,