Wakati mkiwa mpo kwenye maombi mchango tafandhali nadhani mtoa taarifa ungedadavua ni vipi huyo malaika anaweza kufikiwa kwa urahisi lile fungu la kumi sio lazima kulitoa kanisani hawa ndio Mungu anapotuhitaji uchaji wetu wanadamu.
Receive healing in Jesus name Ameen. Come back with your testimony in jamii forums. Kama Mungu aishivyo lazima apone maana hakuumbwa ateseke... Iweni na imani pamoja nami katika Mungu wa Miungu. Kama una imani type Amen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.