Recent content by Ribless

  1. R

    Msaada tafadhali

    I'm not good in kuelezea lakini nitajaribu, 1. Table of contents utaipata kwa "References" 2. kuhusu page numbers.. go to page layout (breaks) na u-insert section-break kutenga section yenye roman numbers na arabic ones. 2. insert numbers ktk roman section then uje uinsert numbers kwa mainbody...
  2. R

    Honda-hrv iinauzwa

    Hey niaje mkubwa....bado gari lipo sokoni? Naona lina foreign Plate numbers,nahitaji kufahamu kama limelipiwa ushuru. ni hayo tu kwa sasa
  3. R

    Travelling document. . .

    Ina Vipengele vifuatavyo; 1. Jina kamili 2. anwani 3. kazi 4.mahali pa kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa 5. urefu,rangi ya macho na nywele pia na alama zisizo za kawaida 6. nchi inapoweza kutumika na validity (ni mwaka mmoja kwa non emergence cases, na one way au go n return for emergence cases) 7...
  4. R

    Mohamed trans na moro best banned!!!!!!

    Well hongera zao kwa ku"simamia" sheria but Someone anionyeshe basi lenye viwango vya huduma vinavyokubalika kisheria...kuanzia ubora wa mabasi,ubora wa huduma kwa wateja na vinginevyo
  5. R

    Project networking

    Hello, Basically i'm none of the above but i (a civil servant) live and work in rural Tanzania and together with other folks we run an NGO (with educators and health workers as members. You can reach me thru gunda82@yahoo.com,thanx
  6. R

    Why it is good to be a man?

    Hilarious! :-) Like number 31the most..........
  7. R

    GE2010 Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu.

    Huu ni ukichaa! unawaweka watu kwenye suspence mpaka inakuwa unbearable si kama kuwatega watu wa watu buree! sioni advantage hapa kwao zaidi ya kuongeza chuki ya wananchi kwa serikali na ccm
  8. R

    United Nations Vacancy's

    Ahsante sana kaka ngoja tulifanyie kazi ! i hope sijachelewa saaana
Back
Top Bottom