Msaada tafadhali

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habar wadau ninaombeni msaada jinsi ya kuweka page numbers katika kazi ukianza na roman numbers page za mwanzo na hizi za kawaida zilizozoeleka kwenye main body yake na pia kuinsert table of contents sababu zinanisumbua sana.asanten sana
 
I'm not good in kuelezea lakini nitajaribu, 1. Table of contents utaipata kwa "References" 2. kuhusu page numbers.. go to page layout (breaks) na u-insert section-break kutenga section yenye roman numbers na arabic ones. 2. insert numbers ktk roman section then uje uinsert numbers kwa mainbody yako zitajipanga vyema tu. hope mambo yataenda shwari
 
Hapo anatumia window gani? mie naomba nikupe ushauri wa bure, nenda kwenye stationary bereau au internet cafe yoyote iliyokaribu na wewe, wanaweza kukusaidia vzr kabisa, hata ukiwalipa kidogo siyo mbaya, pole
 
Back
Top Bottom