Recent content by riba

  1. riba

    Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] embu dadavua hapo ...kufuri?
  2. riba

    Kwanini Dar es Salaam kuna magari madogo mengi?

    Hili suala linanishangaza sana kuna magari MADOGO sana mengi kama vile vitz,starlet,ist,n.k.....Nini siri ya haya magari kuwa mengi dsm???? Naomba kujua??????[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  3. riba

    Natafuta blender zisizotumia umeme

    Wapi mkuu kwa hapa Dar naweza kupata?
  4. riba

    Natafuta blender zisizotumia umeme

    Wakuu natumai ni wazima wa afya njema. .. Natafuta blender ZISIZO TUMIA UMEME (mannual blender) Naomba kujua bei yake pamoja na uwezo wake wa kufanya kazi...ukilinganisha na blender za umeme (electric blender ) Msaada wenu wakuu [emoji120]
  5. riba

    Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

    Mpya?mkuu.....
  6. riba

    Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

    Mmh ...ivi kuna sehemu wanaziuza mitumba au mpaka ununue ...kwa mtu
  7. riba

    Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

    Asante sana mkuu ...
  8. riba

    Machine ya kufulia inauzwa bei gani?

    Wakuu naomba kujua bei ya kiwango cha chini ya machine ya kufulia nguo ......ninauhitaji nayo wakuu...... Msaada wenu Plz
  9. riba

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    SASA wakuu kwani hata duka dogo la dawa muhimu za binadamu ...linahitaji cheti cha mfamasia? ....
  10. riba

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Wakuu natumai ni wazima wa afya... Naombeni msaada wenu nina millioni moja nahitaji kuanzisha duka dogo la madawa mhimu ya binadamu... Je, ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata ili niweze kuanzisha... Vilevile kwa hicho kiasi cha pesa nilicho nacho chaweza kutosha? Je, kuna haja ya kuweka...
  11. riba

    Hivi mwanaume kuwa romantic ndiyo kuwaje?

    Sio bule ni bure mkuu ww ni msukuma nn?
  12. riba

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    WATU wasio na mambo ya kufanya utawajua tuuh......... Am out
  13. riba

    Health tips

    Mkuu ww unatumia .?
Back
Top Bottom