Recent content by Riamado

  1. R

    JamiiForums Tanzania IT Intern Arusha anahitajika

    Jina la kampuni? Isije ikawa utapeli.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni mchekeshaji gani wa Kibongo huwa hakuchekeshi kabisa?

    Wote
  3. R

    JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

    Ni heri kutegemea furaha kutoka kwa Mungu na pia kama ulivyosema ukiwa na mali ujipatie furaha.
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi acheni malezi ya kizungu mnawaharibu watoto

    Achana na huyo mtoto wa mtu kama wako sawa. Lakini wa mtu muache ataondoka.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke

    Hapana. Asilimia kubwa ya wanawake hapa Tanzania wanahudumia nyumba zao kwa mishahara yao wenyewe. Wanaume wakiombwa hela ya matumizi masimango, matusi mara mke anaambia huna kazi? Mikono yako si ipo? Katafute hela. Sasa kauli kama hizo zinafanya mwanamke akatafute hela ananunua viti nyumbani mwake.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke

    Mleta mada uko on point ulichokisema ni kweli kabisa.
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Uko sahihi kabisa spiritual husband haijaletwa na Mungu. Bali alieileta ni shetani. Hio ndoto ni mbaya sana. Inabidi uombee sana ili hio ndoto isitokee tena
  8. R

    JamiiForums Tanzania Maisha

    Kwa kweli hii inasikitisha sana. Mama anawafundisha watoto tabia mbaya sana. wakikua watajua maisha yako hivyo. basi angemuacha home. na angemletea hata chips kuku ili mdada aone yuko part ya familia.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wasanii wa Tanzania wana uwezo mzuri wa kutunga muziki mzuri sana. Shida inakuja kuimba live hawafanyi mazoezi ya kuimba. Kikawaida alitakiwa awe na team ya performance waanamua ni nyimbo zipi zinafaa kuimba kwenye jukwaa kubwa. pia wanatakiwa kuimba mwanzo mwisho. Na wanatakiwa kuwa na mwalimu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano gani kati ya Simba na kung'oa viti?

    unajua nini sisi watanzania ni watu tusiojitambua kabisa. Naunga mkono bora mechi iwe karume huko kutakuwa na afadhali. Yani image yetu imechafukwa kweli kweli.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

    naungana na wengi mnaosema tusiwaige. kikubwa tuombee amani juu ya nchi yetu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama uliangalia Tamthiliya ya Chumong iliyorushwa na ITV hakika utamshukuru Rais Samia kuwapelekea Wasanii Korea Kusini!

    Mimi ninaona bora wapate ujuzi kuhusu namna ya kuandika stori nzuri inayoendana na tamaduni zetu ikawagusa watu kujifunza na kuangalia. Asilimia kubwa ya drama na movies wanazotengeneza wanafundisha namna wanasiasa wanaishi, matajiri au matukio makubwa yaliyowahi tokea kapo Korea. mfano Glory ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kama uliangalia Tamthiliya ya Chumong iliyorushwa na ITV hakika utamshukuru Rais Samia kuwapelekea Wasanii Korea Kusini!

    vyote ni sawa kutokana na wanavyoandika wakorea
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za husband material

    Yani mimi nimecheka. Yani mleta mada hakuna kama mwanaume ambaye ni romantic kama Gong Yoo au Maurice Sam. Pengine hata wao hatuwajui hawa waigizaji wanaishije na watu wao. Hio ni fantasy tu. Bora ungesema awe na heshima, upendo na responsible kwa familia yake. Hayo mengine they don't exist...
Back
Top Bottom