Recent content by Riadha jr

  1. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

    Je walipo halalisha ndoa za jinsia mmoja walitizama dini zao?je sheria zinapo sena ndume mbili zi pigane miti je hii ni kwa sababu ya dini zao au inatokana na asili ya dini yao...jbu swali hili
  2. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Sawa huenda ni gumu kwa mtu asie na ushahidi....na ni maswali mazuri yenye kutafuta haki
  3. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    Kitu nilicho fikia kukiwaza wengi sisi uaga ni watu wa kufata mkumbo usio manufaa,huyo ruto yupo hapo alipo kwa katiba mpya, na hao wengine nao mifumo ilikua ni iyo ila tuu kupitia njia iyoo....siasa ni mbinu ya ushawishi
  4. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sikiliza Busara za Ansbert Ngurumo kutoka juu ya funzo kutoka uchaguzi wa Kenya

    Apa naona akili za kipinzani au upinzani wa levo za juu za kimataifaa zaidi..huu ndo uchanganufu wa kimikakati ya upinzani,na hili kama chadema mkiwa na akili kama izi mtakua na maana halisi ya upinzani ...upinzani sio kuropoka tuu ovyoo, upinzani ni kuegemea haki na kua muazi .....hongera...
  5. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 MAHESABU YA KURA: Kumbe elimu ya Kenya ipo chini sana na upeo wa wakenya upo chini mnoo!

    Ok sawa weka wazi na wewe
  6. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jinsi laana ya kuunga mkono Udikteta wa Magufuli ilivyomwangusha Raila Odinga

    Tatzo la chadema mna fanya vizuri ndani ya anga za tz lakini siasa za inje ambazo hufanya upinzani ukawa solid hamnaa,mna kurupuka sana kutolea maamuzi katika siasa za inje ambazo mnge pata platform yenye maana ,mnapenda kukurupuka mnoo,malema ana nguvu katika vugu vugu na hii ni moja ya sababu...
  7. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Which act?
  8. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania Historia gani ni ya kweli

    Hatari unaileta wewe sisi tunao mjua huyu mzee huku ujerumani na uengereza wewe ndo utaonekana juha,inapo tajwa dini ya kiislam tu katika swala basi wenye mikuki mshachomoa kuwarushia,
  9. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Hii umeipata wapi mkuu
  10. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Huku ndo mwanzo 00:39
  11. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Karibuni
  12. Riadha jr

    JamiiForums Tanzania Kila nikipita Kijazi Interchange napiga ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa zawadi ya Shujaa Magufuli!

    Mpaka sasa bado vijana walio wacha nchi za kiafrika ni mazuzu,je majengo na makorokoro ndo kitu cha kusifia,daaah hawa watu uku ulaya wametupita mnoo,huku watu awasifikiagi vitu vya kawaida .....
  13. Riadha jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

    Sauti imesikika
Back
Top Bottom