Tatizo la nchi yetu haliwezi kutatuliwa na vyama mbadala Wala hii ccm
Tatizo la nchi hii ni mfumo mzima ulishajiozea zamani,lazima kama taifa tuachane na mfumo wa kidemokrasia tuje na mfumo mwingine wa ujamaa kama ilivyo Leo urussi,Iran nk.
Tatizo sio vyama tatizo ni sera za vyama vyote
Vyama vyote sera yao ni Moja yaani uwekezaji kwaajili ya maendeleo ya watu./capitalism policy
Hii sera ni mbaya mbovu hata aje chama Gani wananchi hawewezi kupata maendeleo kwa kuwatumia wawekezaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.