Mchango ni Sh. ngapi? nipo tayari kuchangia kiasi kilicho ndani ya uwezo wangu. .....
Angalizo: Natumia windows 8 na avast internet security. Kwa uzoefu wangu cracked soft mara nyingi huwa zinashishindwa kuelewana na w8 pia avast.
Kama itafanyakazi vizuri nitashukuru.
Feedback: Baada ya kuingiza details hizo kwa kuishughulikia code moja baada ya nyingine, majibu yalikuwa mamoja '' Licence version is older than this software. Do you want to upgrade your licence to the latest version?''
Na nilipokubali ku-upgrade nikapata majibu '' This licence code is invalid...
Habari wanaJF
Niliidownload VerbAce Pro 8 version 2.2.0.0 na kuitumia kwa wiki moja ikiwa ni trial version. Kwangu ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa inanisahisishia katika masomo yangu ya lugha. Baada ya muda wake kwisha nimekuwa napata taabu sana kufuatilia maana ya maneno mbalimbali. Nimejaribu...
Asante sana Mbunge wetu kwa updates, ni kweli umeme umerudi..na umerudi kabla ya saa sita mchana. Tunakushukuru kwa ufuatiliaji wa karibu kwa niaba ya wananchi wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.