CHADEMA haya ndio majibu yenu. Asante Rais Magufuli

Viwanda vinajengwa mkuu inline na Backbone grid, nenda Kigoma na Kagera ,nenda Mkuranga na Kibaha , nenda Mchuchuma na liganga mkuu
Uandaaji wa mikataba ya hiv viwanda yeye ndo alingia au? Chunga majibu sawa kuna mkataba wa kiwanda gan alchosain na umeanza tendewaa kaz chunga kaul
 
Jambo la kusikitisha ni kwamba 1+1 mnajua yakwamba ni 2 lakini unasema ni 6 kwa makusudi tu siku mr mtumbuzi akimkuteni ndo mnarudi na kutoa jibu la 1+1 kwamba ni 2 lakini leo mnajikuta hamna akili
 
Sitaki kua mnafiki kabisa. ..kumbe wana CCM wengi walifurai kuona Maxence Melo Mubyazi akiwa rumande..katoka leo naona wengi ndo mnakuja humu na mada za kipuuzi kabisa...Ila Maxence hauna kinyongo kweli hizi nzi za kijani ilibidi zipumzike
 
Sitaki kua mnafiki kabisa. ..kumbe wana CCM wengi walifurai kuona Maxence Melo Mubyazi akiwa rumande..katoka leo naona wengi ndo mnakuja humu na mada za kipuuzi kabisa...Ila Maxence hauna kinyongo kweli hizi nzi za kijani ilibidi zipumzike

Msiwe kama majuha.
Jamii forums imekuwepo kabla ya Sheria ya mitandao and for info Jf ilizaliwa longtime wakati wa Kampeni 2010 ndio ilipata umaarufu zaidi.

Mnapokuja humu mjue kuna kaka zenu tunaongea tunayoyajua

Ni ishu ndogo itaisha tu
 
Kawaida yao,
Wanasoma na kuishia mitini

Kama mkivokuwa mnasoma nyuzi za kuhusu Max Mello na kuishia mitini...leo ndo mmekuja kama nzi wanazengea kinyesi na nyuzi uchwara baada ya kusikia Max kapata dhamana..

Shame on you nzi wa kijani wachafu wa chooni.
 
CHADEMA ni wanafiki sana, Mwenyezi Mungu ametuonyesha sura yao halisi, ndege ndogo ziliponunuliwa wakapinga eti ni vindege vidogo na vina mapangaboi eti wanataka Boeing, baada ya serikali kusema itanunua ndege kubwa wamebadilika na wanapinga ununuzi wa ndege kubwa.
 
Usitumie nguvu sana, maana wapuuzi wanajulikana ni wale wanaofuata siasa za majitaka mm nawaita CHADEMADEMA


~Cmb
 
Lkn umesahau kujumuisha hela zetu za rambramb kwa wanakagera mana wengne hata sanda tulishindwa kuwavesha
 
Ukweli wanaujua sana
Hao cdm ndio kirusi kibaya kuliko vyote kwa sasa Tanzania!!
Umeona wapi watu wakawa wanafiki na wazandiki kama cdm!!?
Cdm inaviongozi wapuuzi kulio viongozi wa vyama vyasiasa duniani,
Wafuasi wake nao ndio shida na majanga kabisa.
Leo wanapenda hili
Kesho hilohilo likifanywa na serikali wanaanza kutapika viroba hovyo!!
Leo waki sema jambo vibaya
Wewe tulia kesho litakuwa zuri pale tu alie litenda jana kaungana nao!!

Ninacho mshukuru mungu nikuwa
Kampa uwezo Rais wetu kuelewa hawa watu niwapuuzi na wakupuuzwa
Ni wasaka tonge tu tena niwachafu kuliko vile wanavyo onekana,
Hivyo Rais ana wapuuza na kufanya kile anacho kiamini sio kufuata kile wanacho kiamini hawa Wanafiki.
wewe ningekujibu sema naogopa mto ruvu na kufanywa kama Ben
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom