Dr Faustine Ndugulile
R I P
- Jul 16, 2012
- 251
- 439
Update: Nimecheki na Tanesco muda mfupi uliopita, umeme kurejea kabla ya saa sita mchana. Kazi ya ukarabati imeisha, wanafanya uhakiki kabla ya kuwasha umeme. Poleni kwa usumbufu.
Dkt Faustine Ndugulile-Mbunge
Dkt Faustine Ndugulile-Mbunge