Recent content by Reyes

  1. R

    Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi?

    Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama inavyofanyika katika nchi za Kenya, Uganda, na Ulaya lakini TFF hawataki kwa kuhofia kupoteza Mapato...
  2. R

    Mukama alia: Tutawaondoa tu mafisadi, hatuogopi

    katika pitapita kwenye mitanndao ya kijamii leo nimekutana na hii watanzania wenzangu, msilalamike sana! nchi yetu ina majanga mengi ambayo yamekuwa yakituumiza mwaka kwa mwaka zaidi ya huu umeme, lakini tumekuwa wastahimilivu kupita Mungu alivyotarajia. tuendelee tu na uvumilivu huu utazaa...
  3. R

    Heche na Nape katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv

    Tutamkumbuka Makamba, alikuwa kiongozi mwenye upeo mkubwa kulinganisha na hawa wa sasa
  4. R

    Hotuba ya Rais na Mashine za Kutoza Kodi za TRA

    Bei ya mashine moja haifiki dola 200, kwa nini ziuzwe milioni 3? huu ni ufisadi mwingine
  5. R

    Makofi ya Mbowe na kizungumkuti cha maadili ya Viongozi Tanzania

    kwa hiyo maadili kwako ni kuvaa suti na kuongea unafiki? hip hop ni utamaduni baba... let em take sugu to cort if they can dare
  6. R

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Wiki iliyopita nilikwenda Tabata magorofa ya NSSF kumjuza hali mama yake Zitto, ni kweli anaumwa na anahitaji ukaribu wa kijana wake, ikumbukwe kuwa mama yake Zitto pia ni Kamanda ndani ya makamanda waadilifu wa CHADEMA, jeikei na wazushi wengine acheni chokochoko zsizo na msingi na muacheni...
  7. R

    Jakaya Kikwete kajenga kiwanda chake kwenye makazi ya watu Mbagala

    Kiwanda ni cha Merley Barhbou yule Tajiri mkwepa kodi wa TIOT
  8. R

    Kizungumkuti Dowans

    Pambafu....
  9. R

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Makamba niaje? upo tuu
  10. R

    Ugomvi wa Kidini ndani ya Chadema

    propagandist
  11. R

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    kama wimbo uliandaliwa kanisani namuunga mkono mkwere japo simkubali
  12. R

    Liganga/ Mchuchuma deal of Tshs 10 trillion Bunge iliridhia mkataba? au ndio yaleeeee

    ongelea mkataba bana... achana na zitto... modes mimi napendekeza wanaomuattack zitto hivi sasa wapigwe ban
  13. R

    Dk. Slaa aizidi ujanja CCM

    Ohooooo another good news... naendelea kupunga upepo
  14. R

    Uchaguzi wa Meya Manispaa ya Kigoma waahirishwa

    yaani hupendi kupata taarifa kupitia mtandao? kweli wewe hamnazo
Back
Top Bottom