Makofi ya Mbowe na kizungumkuti cha maadili ya Viongozi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makofi ya Mbowe na kizungumkuti cha maadili ya Viongozi Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ernesto Sheka, Mar 13, 2011.

 1. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria onyesho la Joseph Mbilinyi (MB) pale Club Bilicanas baada ya Bunge la Februari. Kwa wale mliokuwepo nadhani mnakumbuka matusi aliyokuwa anayatoa Joseph waziwazi huku akipigiwa makofi na Freeman Mbowe, usiku ule mbele ya Wananchi. Mbunge anavitukana vyombo vya habari na viongozi huku akipigiwa makofi na mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

  Hivi tuna wanasiasa au wanasiasa? Trust me, descent young people are on their way to clean up uchafu huu wa ukosefu wa maadili kwa ninyi mnaojiita vioo sahihi kwa jamii. And when they clean up, it's a new move, new politics. Upinzani si kubisha tu na kuwa na mishipa migumu ya shingo.

  STOP MAKING TANZANIA OPPOSITION POLITICS LOOK LIKE A CRAP! Jifunzeni kwa nini nchi nyingine za EA ikitokea a slight unrest inapewa air time katika vyombo vya kimataifa but not kwetu!
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,314
  Trophy Points: 280
  Ni ''matusi'' ya aina gani aliyokuwa anayatoa Joseph? - jaribu kuwa wazi mkuu
   
 3. R

  Reyes Senior Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo maadili kwako ni kuvaa suti na kuongea unafiki? hip hop ni utamaduni baba... let em take sugu to cort if they can dare
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  munaikumbuka hii singo ya Nas Escober?

  alitukanwa Rais, ilitukanwa congress, walitukanwa FBI, CIA n.k.

  sembuse magazeti yenu ya RAI na Jambo Leo?

  singo ili-hit na Nas mwenyewe hakufanywa kitu.

  sometimes muwe munakuwa na kumbukumbu kabla ya kuleta thread zisizokuwa na mashiko.

  NAS LYRICS - I Want to Talk To You
   
 5. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wabongo hamuaminiki Mkiambiwa ukweli mnadai mnatukanwa, hivyo kutuambia SUGU alikuwa anatukana ktk onyesho lake siwezi kukuamini mojakwamoja.

  Tukumbuke SUGU alivyotoa kwa mara ya kwanza ALBUM ANTI VIRUS aliyowashirikisha wenzake alitiwa nguvuni na Jeshi la Polisi kuwa Katishia kuua na katukana Baadhi ya watu ktk wimbo wa I WANNA KILL U RIGHT NOW kikowapi hadi leo hakuna cha kesi wala zuio la wimbo/Album hiyo lililo mahakamani au BASATA, Leo anazindua ALBUM hiyohiyo ya ANTI VIRUS unakuja na maneno yale yale na lugha hile hile ya MATUSI, hivi mnaelewa neno TUSI maana yake?

  Ni vyema mkapitie KAMUSI ya kiswahili sanifu ili kuelewa maana ya neno hilo, isije kuwa Mkiambiwa ukweli kwenu tafsiri yake ni MATUSI.
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli, Mbilinyi hawatendei haki waliompigia kura na nadhani ataongoza kwa miaka mitano then inatosha,hatuwezi kuwa na wanasiasa waliojaa visa visasi matusi ktk jamii.

  Kumbukeni tumetoka kumsema yule dada mhindi mwanaharakati kwa kuwa amekuwa anafanya mambo yasiyo ipendeza jamii,
  so kwa mbilinyi pia ni kioo cha jamii kwa hiyo tunahitaji aonyeshe kweli yeye ni kioo cha jamii.

  Mbona Komba anaimba hatukani? Tatizo lipo wapi endelea kuimba lakini matusi sio ustaarabu ukiwa kama mbunge
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona wanaCCM wana uwezo mdogo namna hii, kila kitu wanaita matusi ukimwambia taja matusi yenyewe hana jibu. Huko ni kukosa cha kusema wanalalama tu.

  Hamna jipya kwa sasa.
   
 8. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufinyu wa fikra utakusumbua kwa muda mrefu maishani.That I guarantee.Fuatilia kwa makini utajua mimi ni mfuasi wa fikra zipi,usikurupuke kama ulivyom-quote Marando usiyejua lolote kuhusu that particular quotation.Jitahidi usiwe superficial arm chair activist.
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Tunaomba utuwekee hayo matusi tuone kama kweli yanafaa kuitwa matusi maana tunasikia kwenye siasa ahadi nyingi zisizotekelezeka za uongo hugeuka kuwa ilani na ukweli huwa uchochezi.
   
 10. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado mtatafuta sana visingizio,mara wanataka kupindua nchi,mara wanatukana,mara wanafadhiliwa na nchi za magharibi kama ni picha hizo zote bado ni trailer picha bado kabisa
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ngoja nikutafutie dude la eminem uone kwamba Sugu hajamtukana mtu
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wee sheka tuambie matusi yenyewe aliyotoa Sugu ni yepi? acha kigugumizi hapa! Mengi wamesemwa viongozi wetu Chadema na hatuwahi kulalamika kuwa wanatukanwa na mende wa ccm sasa unakuja uanalialia kijuu juu bila kutambia tumtuhumu Sugu kwa kosa lipi!
   
 13. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  MKama mtu kuambiwa, "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" lilikuwa tusi kwa maoni yao, unategemea nini?
  Ukienda against na upupu wao ni sawa na umewatusi, mfano kupinga kulipa DO ONCE, lilikuwa ni bonge la tusi

  :embarassed2::embarassed2::embarassed2:
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukisema mtu katukana, wakati husemi tusi/matusi yenyewe,
  Sisi ambao hatukumsikia tutamhukumu je sasa??

  Tuambie mkuu!!!!!
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Samahani wana JF, sisi wengine tukiambiwa ukweli kuhusu mabaya yetu inakuwa matusi.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wanapenda nyimbo za kuwasifia tu kama za kina diamond , small jobiso na wasanii wengine.. Wakisifiwa aka wanawaalika kwenda ikulu kunywa chai kabisa lakini wakikosolewa basi inakuwa nongwa .. Siasa na maisha ya zidumu fikra za mwenyekiti zimepitwa na wakati sasa hivi.
   
 17. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Usikurupuke, na mahitimisho. Muulize mwanzishaji wa thread alitukana nini? Tunajua kwenu ukweli ni matusi.
   
 18. Runner

  Runner Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa muwazi utuambie hayo matusi yaliyokuwa yanatukanwa
   
 19. S

  SAM wa KILUNGU Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jifunze kujenga hoja,ulikua na idea nzurii,but poor presentation...dont b too emotion unapojenga hoja zako....for nw it look like a CRAP..Am sorry
   
 20. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mh alipima jukwaa pole zake Ernesto
   
Loading...