Tanzaniaaaa Tanzaniaaaaa... nakupenda kwa muoyooowoteeee!
Mkitafautiana majina tu tabu tayari! Jina fulani ni la dini fulani! Kwetu kuna Josia na kila siku yuko Msikitini!!! Na kuna Zubeda kila wikendi anakwenda kanisani.... yawezekana huyo Abuu na mchungaji wamekosana kanisani pia!
Uko VERY VERY VERY RIGHT Mwanamageuko bravooo.
hawa wanaufuata majina ni watu wasio fikiria kabisa na ndio baadhi ya hawa huwa wanang'ang'ania kuzika maiti zisizo za kwao.
hawajui kwamba, kuna kipindi enzi za mwisho za uongozi wa Nyerere au mwanzo wa uongozi wa Mwinyi km zijakosea, ilikuwa MARUFUKU MTU KURUDIA STD SEVEN(VII).
SASA HAPO WABONGO SI UNAJUA, walichenza hiyo ngoma kwa kubadili majina kishenzi maana mbongo hakubali kushindwa.
wapo walioingia hata makanisani na misikitini bila kupenda mradi waipate Elimu.
ingawa sheria ilikuja kulegezwa, wengine MAJINA YALIKUWA TAYARI YAMEWAKAA na hawakutaka kubadilisha tena.
Sasa hapa nataka kupasua jipu kwa kusema, KUNA WATU HUMU WANAMTINDIO WA UBONGO NA wamesahau Historia. hawa nawakumbusha tu.
Lakini pia kuna wengine ndio sasa wamekuwa na enzi hizo walikuwa hawajazaliwa au walikuwa bado wadogo sana hawajui, hao pia ninawapa somo hili.
Conlusion: Ukisikia mtu anaitwa sijui Issah, Yahya, au Bakar si lazima awe Muislam ndugu zangu ni majina tu. Ktk Biblia wapo pia kina Suleiman .
Na hata ukisikia John (au Yohana),Bathlomeo, barnabas nk si lazima awe Mkristu ni jina tu.
Mwisho: Jina la mtu si dini yake dini ni imani yake na huwezi kuiona kwa macho bali kwa matendo ya mtu anayetii dini anayoifuata. Amen