yaaaaaani ndugu yangu upo sawa kabisa,sisi ni wamoja,na ukiona mtu anaanza kujitenga na kusema mm ni hivi huyu ni vile,hatufiki hata siku moja,ila kikubwa,tusibabaishwe na chochote,wanaanzisha jipya ili lakale lenye msingi tulisahau,jamani;dowansi,richi mondi,mauwaji ndan ya jiji la...