Fumanizi kitaani kwetu

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue wakamwambia mwenye mali (jamaa anapiga job benki flani)

Chezo ilikuwa kila mara yule muuza urembo akiingia kwenye ile nyumba anakaa kama masaa mawili hivi na akitoka anasindikizwa tena na maurembo yake anabebewa mpk getini anasepa

Sasa juzi jamaa wa urembo kaingia watu wakamwita mwenye mali aje kufumania, ingawa hawakukutwa red handed lakini jamaa alikutwa sebuleni anapiga chai ya maziwa kwa soseji huku yule dada akiwa bafuni anaoga nadhani akijiandaa na pambano au akijisafi na pia pale sebuleni ilikutwa chupi ya yule dada sasa haikueleweka kama walishapiga cha fasta lah maana toka muuza urembo aingie mpk mwenye mali anakuja ilishapita kama dk 45 hivi

Kilichonichekesha ni kwamba jamaa walioingia kufumania ambao ni jamaa marafiki wa yule mwenye mke walimpiga mkwara yule chinga kuwa nae wanamgeuza kwa hiyo wakamkwida mavue nguo (ingawa ilikuwa ni mkwara tu) unaambiwa yule muuza urembo alipiga makelele mtaa mzima ulisikia huku anasema bora hata achomwe moto kuliko kugeuzwa au kama ni kumgeuza labde awe amekufa. Jamaa baadae alipelekwa polisi ingawa baadae nasikia alitolewa kwa kukosekana ushahidi wa kimazingira

Cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga
 
Mkuu mwanamke ni fimbo ya uhakika ndio hatatoka ndani, hata uwe na mali vipi kama uwezo mdogo basi shambaboy, muuza genge, muuza urembo, lazima watakukanyagia tu.

Cha muhimu ni kuepuka sana Vitambi na Manyama ya uzembe ya hovyohovyo, jaribu kufanya mazoezi yanayokujengea pumzi ya kuhimili mikikimikiki ya dakika 90, hao (shambaboy, muuza urembo) muda wote wako kwenye pilikapilka hivyo wako fit
 
Mume ni Banker sio? Most of them wanakaa sana kwa ofisi so wanakuwa na uzito na inakuwa awawezi toa dozi ya uwakika kwa Wake zao,awa wauza Uzuri,wapaka Rangi kucha na ata wauza samaki wabichi mitaani,kazi zao tu ni mazoezi tosha,Hivyo Basi wadada wanajua hilo.Mpaka huyo jamaa anakula chai kwa soseji atakuwa ameshammega huyo mama ata pengine round 2 kwa dakika hizo.
 
mbona unaniongelea mimi wakati sio mimi??
 
Mume ni Banker sio? Most of them wanakaa sana kwa ofisi so wanakuwa na uzito na inakuwa awawezi toa dozi ya uwakika kwa Wake zao,awa wauza Uzuri,wapaka Rangi kucha na ata wauza samaki wabichi mitaani,kazi zao tu ni mazoezi tosha,Hivyo Basi wadada wanajua hilo.Mpaka huyo jamaa anakula chai kwa soseji atakuwa ameshammega huyo mama ata pengine round 2 kwa dakika hizo.
mashuhuda wa tukio wanasema kuwa yule mwenye mke alipoiona chupi pale sebuleni nguvu zilimwishia akaichukua akainusa sasa sijui alikuwa anasikiliza harufu ya bao?
 
Za hivi nyingi sana. Pia zina sababu tofautitofauti wengine njaa (kisa cha mpemba), wengine vicheche tu na mengine mengiiiiiiii
 
ila huyo demu ni mzuri sana na ana aibu flani hivi nadhani hii mambo ya kukaribisha machinga ndani si sawa kabisa ndio wale utakuta anauza chup* halafu akienda kuijaribu anakuja mumwonyesha mwisho wake wanakiduana au mtu anampaka rangi mwanamke huku anamtekenya tekenya halafu demu kavaa kanga moja si ndio pale unakuta wamemegana bila hata kutongozana inatokea tu kama nguvu ya sumaku na chuma
 
Walahi majinga, wauza urembo nk marufuku home kwangu. Hawa jamaa ni hatari sana kwa kuwa huwa wanagonga mademu bila huruma na matokeo yake my waif wetu wanapenda kitu hiyo. Pole sana banker
 
Kuna jamaa mpaka rangi kucha na kuuza urembo juzi kafumaniwa mtaani kwetu ndani ya geti nyumbani kwa mtu alikuwa anampaka rangi mke wa mtu halafu anammega. Sasa majirani walishtukia issue wakamwambia mwenye mali (jamaa anapiga job benki flani)

Chezo ilikuwa kila mara yule muuza urembo akiingia kwenye ile nyumba anakaa kama masaa mawili hivi na akitoka anasindikizwa tena na maurembo yake anabebewa mpk getini anasepa

Sasa juzi jamaa wa urembo kaingia watu wakamwita mwenye mali aje kufumania, ingawa hawakukutwa red handed lakini jamaa alikutwa sebuleni anapiga chai ya maziwa kwa soseji huku yule dada akiwa bafuni anaoga nadhani akijiandaa na pambano au akijisafi na pia pale sebuleni ilikutwa chupi ya yule dada sasa haikueleweka kama walishapiga cha fasta lah maana toka muuza urembo aingie mpk mwenye mali anakuja ilishapita kama dk 45 hivi

Kilichonichekesha ni kwamba jamaa walioingia kufumania ambao ni jamaa marafiki wa yule mwenye mke walimpiga mkwara yule chinga kuwa nae wanamgeuza kwa hiyo wakamkwida mavue nguo (ingawa ilikuwa ni mkwara tu) unaambiwa yule muuza urembo alipiga makelele mtaa mzima ulisikia huku anasema bora hata achomwe moto kuliko kugeuzwa au kama ni kumgeuza labde awe amekufa. Jamaa baadae alipelekwa polisi ingawa baadae nasikia alitolewa kwa kukosekana ushahidi wa kimazingira

Cha ajabu ni kwamba huyo dada ni mzuri na wameoana kama mwaka hivi umepita ndoa bado changa na pia jamaa amemnunulia gari mkewe yaani ilikuwa maswali mtaa wote wanajiuliza huyu mama alikuwa anapata nini kwa yule mmachinga

tuwasilianeni jamani mimi nauza hiden kamera its not a jok e guys
 
Dah!funza dume umetisha!Yani stori yote hiyo umeweka nukta mbili tu?!
Huo ni utani tu.Hiyo ishu imetokea wapi?
 
Walahi majinga, wauza urembo nk marufuku home kwangu. Hawa jamaa ni hatari sana kwa kuwa huwa wanagonga mademu bila huruma na matokeo yake my waif wetu wanapenda kitu hiyo. Pole sana banker
sasa wewe ukiwa kazini huku kama jamaa utajuaje kama kuna wauza urembo wanaingia home kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom