Kwa nini wanawake wengi wa kiafrika wana makalio makubwa!?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Samahani wanaJF,
Nimekuwa nikijiuliza sana suala hili baada ya kutembea nje ya nchi na kuona maumbo ya wanawake kwenye mabara mengine. Kwa ujumla, dada zetu wa kiafrika wana makalio makubwa ukilinganisha na mabara mengine. Tofauti hii ina tafsiri yoyote kimazingira?
 
hili swali lako dear Mungu ndo anajua jibu lake..... kwa hiyo anza ku funga..
 
Pana ukweli hapa,ila kwa kweli makalio ya dada zetu wa kiafrika kutoka afrika yameundwa vizuri.
 
genes:
Ingawa twafanana kwa maana binadam wote spicies mmoja (sapiens) ILA genes are prone to different stimili relative to others, MFANO MZURI NI KWAMBA IT HAS BEEN ESTABLISHED THAT INDIAN genes are prone to kisukari than others.
 
Kumbe umetembea na kuona tofauti. Hujajua sababu?? Tunakula vyakula fresh sio kama vya kizungu vinakaa kwenye freezer one year
 
:first: ,kama hujui kombe tunalo,kuhusu swala hilo,ila kwa wale ambao hawajajaliwa mambo fulani<wanatumia mchina,
sio fresh,ila ni kitu kinacho nishangaza sana kuona,wanawake hawajipendi wajionapo hawana makalio!
 
:clap2:Wanamakalio makubwa kwa vile wanaume wa kiafrika wanapenda wanawake wenye makalio makubwa teh teh teh teh teh .................Si unaona wapo tayari hata kununua dawa za kichina ili kuongeza makalio yao? Wamegundu kuwa ugonjwa wa wanaume wa kiafrika ni makalio makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::popcorn:
 
Back
Top Bottom