Recent content by Rev. Damasus Mkenda

  1. R

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
  2. R

    Al Qaeda yaitisha Tanzania

    We need the protection from God who is the way the truth and Life. Amen
  3. R

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Tunamshukuru Mungu kwa Amani iliyotawala. Amen!!!!
  4. R

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Jehovah Shalom ndiye Mungu wa Amani ya Tanzania.
  5. R

    Anne Makinda: Hoja binafsi marufuku kuanzia sasa!

    Kama hujui njia ya kule unakoenda njia yoyte utakayochukua itakufikisha.
  6. R

    Natamani hata kunywa sumu, mapenzi jamani...

    Usijiue binti yangu, Mungu amekuonyesha kuwa huyo sio mtu sahihi kwako haijalshi mmepanga nini bali ni nini mpango wa Mungu ktk mahusiano yenu, kwa hiyo kama ameamua kuwa na mahusiano na mwingine basi wewe mngojee Mungu akupe Mume wako. Mungu ni mwaminifu hadanganyi, hashindwi na ana upendo wa...
  7. R

    Usijaribu kununua LUKU kwa kutumia TIGO PESA

    I am very sorry to say that I suffered the same problem and they replied to me this morning. I would like to advise them to apologise to all of us, as we still need their service.
  8. R

    Precision Air versus FastJet, Nani zaidi

    If this happens I will be preaching first and second service in Dar and third at around 1600hrs in Isamilo Mwanza and then will board the last flight at around 1900hrs. But yangu macho ndugu zangu, you are Blessed!!!
  9. R

    Bi harusi aingizwa mkenge na big boss!!!!!!!! Mji hauna mwenyeji!!!!

    Kusamehe siku zote ni ngumu kwa sababu masharti yake ni kuwa usiposamehe waliokukosea na wewe hutasamehewa na Mungu utakapokosea. Kwa hiyo hatuwezi kusema kuwa hatutasamehe eti kwa sababu inauma katika hayo maumivu ni mpaka usamehe na hii ni kwa wote. Na ilianza na Mungu mwenyewe kutusamehe...
  10. R

    Bi harusi aingizwa mkenge na big boss!!!!!!!! Mji hauna mwenyeji!!!!

    Samehe mara saba sabini and God can give you a second chance. Ni kwa sababu huyu dada alikamatwa tu lakini na yule ambaye hakukamatwa na alifanya hivyo je?? uyu dada atubu kwa mchumba wake, amsamehe na wafunge ndoa waendeleze maisha yao. Kwani ni nani asiyetenda dhambi?????
  11. R

    Mr Freeman Aikael Mbowe as i know him so Far

    NUMBER ONE IS EDUCATION, NUMBER TWO IS EDUCATION, NUMBER THREE IS EDUCATION AND NUMBER FOUR IS THE RULE OF LAW. Hon. Freeman Mbowe receive my Hi 5, wherever you. This is all about what we miss in Tanzania regardless of all resources we have from Mwanza to Mtwara, from Dar to Kigoma. God help us!!!
  12. R

    Wahindi wakija Bongo wanaringaaa, ona hapa

    mwenye macho haambiwi tazama.
  13. R

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Mungu ponya Tanzania na watu wake. Ponya taasisi zote binafsi, vyama vya siasa na serikali pia.
  14. R

    Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

    God hears and answer the Prayers!! God is on the side of his precious people of Tanzania.
Back
Top Bottom