Bi harusi aingizwa mkenge na big boss!!!!!!!! Mji hauna mwenyeji!!!!

Ni kimtazamo tu, wewe na mimi labda tumeona imezidi kiwango; lakini nafikiri uaminifu pia unatakiwa kuwa kwa kiwango cha juu hasa for some people who always go for the best.

Haya na RED, ni nani anayeruhusu? Again ni contextual na sidhani kama jamii imepanga (labda tupange humu Jamii ya MMU) uchunguzaji gani waruhusiwa na upi hauruhusiwi.

Any way Dark City ni mtazamo tu na hakuna jibu sahihi na lisilo sahihi; msomaji atapick inayomake sense kwenye maisha yake; good to have different opinions.
Kaunga,

Kutofautiana kistaarabu ni jambo zuri kwani linafanya mjadala unoge.

Nadhani mie na wewe tunakubaliana kuwa uaminifu katika mahusiano (urafiki, uchumba na hata ndoa) ni jambo muhimu sana. To me, it is indispensable and can/should not be questionable or tempered with.

Pia tuko pamoja kwamba huyo msichana alifanya kosa kubwa sana na kweli ameonesha kuwa siyo mwaminifu.

Hata hivyo, mie nahisi kuwa njia ambayo huyo mwanamume alitumia ilikuwa ni ya kiwango cha juu sana na nadhani haikutakiwa kufikia hapo.

Hebu fikiria, ingekuwaje endapo ingeshindwa na siku moja (hata kama ni baada ya ndoa) huyo dada agundue kuwa huo ulikuwa ni mtego kutoka kwa mchumba wake?

Na may be ni wewe (uaminifu kwako ni 100%) na uko safari halafu kama saa 6 usiku, mchumba wako anakuja chumbani kwako (as a surprise), utamwelewa kweli?

May be ni uzee unanisumbua ila ukinifanyia kitu kama hicho na mtego nikaushinda, nitapata shida si tu kukuelewa bali hata kukusamehe.

Halafu suala la makubaliano katika jamii lipo katika mambo mengi, na siyo kwamba lazima yafanyike kwenye round table na kuandikwa kwenye mavitabu makubwa makubwa!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani Babu DC, hapo kwenye bold nafikiri mimi nitakuwa nina matatizo kwani honestly hainisumbui na nitamuelewa. Sasa kwakuwa najiamini with time atachoka mwenyewe. Believe me, nimeshaishi na psycho ambaye monitoring zake nina uhakika wengi wangeshindwa; kilichonifanya nimuache ni pale alipoanza kuwa physical (abuse), maana yeye aliamini kuwa nimeumbwa kwa ajili yake tu kiasi kwamba hata ndugu zangu mama included hawana nafasi.
 
Una maana kwamba hutajali kama umenzi wako anakuspy na kukuwekea mitego tena kwa mbinu za hovyo?

Basi wewe utakuwa mtu wa aina yako. Umetengezwa na kiwanda maalumu na kilishafungwa siku nyingi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kusamehe siku zote ni ngumu kwa sababu masharti yake ni kuwa usiposamehe waliokukosea na wewe hutasamehewa na Mungu utakapokosea. Kwa hiyo hatuwezi kusema kuwa hatutasamehe eti kwa sababu inauma katika hayo maumivu ni mpaka usamehe na hii ni kwa wote. Na ilianza na Mungu mwenyewe kutusamehe wakati hata hatukustahili kusamehewa kwa hiyo hicho kisa kama ni cha kweli waendelee na mchakato wa kufunga ndoa yao na Mungu awabariki sana.
 
Ndoa ni mipango ya mungu bwana
huyo hakuwa mume wake.
Mwanaume anaekupenda kweli si mchezo hawezi chezesha game za kipuuzi hizo

Asante Smile
uwe na weekende powa sana ..Huyo mwanaume alikuwa anatafuta sababu ya kumwacha Bidada..
 
Last edited by a moderator:
Bora hawajaoana. manake huyo mume mtarajiwa anaonekana ni matatizo sana. kuchunguza bata anakula nini ndo ingekuwa issue yake sana. Mke angekoma na ndoa isingedumu. Hujaoa unaanza kuweka mitego!!!
Lakini pia huyo dada ni bonge la mcharuko. Hivi account balance ngapi zimenona hapo Bank?
jamaa angechapiwa my wife hadi afe kwa kihoro.

Wagaba nimekosa kitufe cha kulike ila sina mbavu na comment yako!
 
Back
Top Bottom