Prof. Muhongo ammaliza rasmi Mhando; Mama Rwakatare naye alipuliwa!

Mkuu mdizi mbona nipo sana labda wewe unapenda kutembelea MMMU huko sitembelei mara kwa mara.

Mkuu Ngongo

Heshima mbele .... umepotea sana humu jamvini ... nadhani ni kwasababu swaiba wako G.Lema hayupo bungeni lakini pia umetoa point nzuri sana katika sakata hili
 
Last edited by a moderator:
KIla siku nasema CHADEMA haiaminiki leo mambo hadharani, wanajidai kuikataa pocho kumbe wao ndio nambari wani na mkuu wao Freeman Mbowe, na huyu si ndio tumesikia anataka kunua mitambo ya Hai ili awauzie tanesco umeme? kama angekuwa mzalendo hakika angeishauri serikali iitengeneze mitambo hii na iwe inaimiliki, watu kama hawa wakiingia madarakani ni ndio kama kina mhando baba , mama , watto na wajukuu wanapewa tenda, hivi mbona tunatia aibu, juzi tu mkurugenzi wa NBC kasimamishwa kazi na yeye inadaiwa kumpa maiwaifu wake tenda ya kusambaza unifomu pale NBC , na hasara ya kutisha NBC mpaka wanaanza kuwakaba koo benki nyingine zinazoweka fezwa kwao! what a shame tanzania !
 
Hii habari ya ufisadi ya wabunge, ina "justify" maelezo yangu hasa nilipokuwa na "debate" kuhusu ufisadi sio SERA ya chama fulani bali ufisadi ni HULKA na kwa neno zuri ni UBINAFSI wa mtu kujiangalia yeye kwanza. Hivyo, ufisadi hauna chama na conclusion yangu ya leo kuhusu mada hiyo hapo juu ni kwamba huwezi kutaka kwenda ikulu kwa kutumia silaha ya UFISADI kwa sababu hakuna chama kinachohubiri kutetea ufisadi bali kina viongozi ndani ya vyama vyao wanaofanya ufisadi. Sasa ukweli uko wazi, ufisadi ni Hulka ya UBINAFSI na si sera. Cdm nawaambia ajenda ya ufisadi haitaing'oa ccm kamwe kwa sababu haina justification ambayo ni objective.

You are a GREAT THINKER .... , na kwa hitimisho, ufisadi hautakufa hata kama CCM itaacha kuongoza nchi hii, tena hawa viongozi wa chadema kwa kuwa wana NJAA, ndio utazidi mara elfu, maana wameshaonesha ulafi wao wa madaraka na ufisadi na uzandiki wa hali ya juu
 
watanzania kweli sisi ni wajinga sanaa. huyu waziri ishu ambazo amezitaja hapo ni ndogo sanaa kwa tanesco. kuna mikataba ya mabilioni ya fedha hajaitaja. alafu nyie mnamwona wa maana. kuna watu wanaingiza mabilioni kwa mwaka. angewataja hao..

Sisi sio wajinga ila kumi huanza na moja na hapa Muhongo ameanzisha mchakato wa kuondoa uoza TANESCO. Ameshaahidi tusubiri maamuzi magumu na isitoshe yeye ni mgeni inawezekana with time akaubaini huo uozo na akauanika. Ila nikuhakikishie tu kama huo mkataba wa mabilioni unamhusisha mkuu wake usitegemee autaje kwani kibarua kitaota nyasi.
 
Waziri wa Nishati na Madini ameitaja shule za st mary's zinazomilikiwa na mchungaji dr mhe. Rwakatare (mbunge), ni miongoni mwa wezi wa umeme wetu. Nimeshangazwa sana na taarifa hii. Kiongozi wa kiroho anadhiriki wizi, tena wa mali ya umma? Isijekuwa hata kanisani kwake tunatumia umeme wa wizi kusifu na kumwabudu Mungu. Nina watoto watatu katika shule hizi, kuanzia leo ninawahamisha. Watanzania, hivi tunakwenda wapi na nchi hii katika hali kama ilivyo sasa? I am so dissapointed! ! ! ! ! !
Kirokolo sema umeshindwa school fees sio sababu ya umeeme hapo kwenye red.
 
Last edited by a moderator:
CCM wanaharibiana kwa namna hiyo. nadhani sasa huyu jamaa anabaraka za JK na hili ni changa la macho. Kitakachotokea ni kusema na kujifanya muwazi alafu utasikia ndo mgombea au kampeni meneja wa uchaguzi ujao. Haya mambo yametokea kwa wingi na tunazidi kuona usanii mpya wa CCM sasa. Tusubiri tuone. Mtu makini na muwazi hawezi kufanyaia kazi CCM labda awe na baraka za waliomtuma ili aandae njia ya kuwalinda wakishang'atuka.
 
Inakuwaje shule inayomilikiwa na Mchungaji wanaiba umeme..labda wafanyakazi wameiba umeme bila mmiliki kujua..Ngoja tumsubiri Rwakatare atuambie..maana kwenye mahubiri anakemea wizi sasa inakuwaje ofisi yake inaiba umeme..

Mchumaji.lol!
Nasikia huyu mama ni mchumaji ile mbaya
 
shule za St. Mary zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatale ni miongoni mwa wezi wakubwa wa shirika la umeme TANESCO
hajaanza wizi leo mama huyu ambaye pia ni mbunge viti maalum kupitia CCM.jiulize mchungaji gani anajilimbikizia mapesa alhali watu wa taifa lake wanakufa njaa?anatoaga misaada huyu?

kama hasaidii wanadam basi kuna sehemu zinakwenda......na mara nyingi alienacho anataka kuongezewa na ananyonya hata kile kidogo cha wasionacho........ Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa yote na ndiye atayehukumu kwa haki wanadamu tunashutumu tu.
 
nami sikubaliani na wewe..
wewe una-assume na ku-oversimplify kwamba mama 'mchungaji' is micro-managing each and every aspect ktk nyumba zake, shule zake na kanisa lake..kitu ambacho it will take a superwoman to do so. usitangulize mi-emotion na chuki kabla ya hekima na busara.
kweli mkuu, nafkiri hili linazungumzwa kisiasa zaidi. tukitaka kua wakweli tuzungumzie taasisi yake, yaani shule ya st mary tena tuwe specific ni shule ipi exactly( ya tabata,mbezi,iringa etc au zote?) hapo ndio tutaweza ku-identify wahusika. coz hizi shule zinaendeshwa kikampuni, zina uongozi na idara zake. sidhani kama mama lwakatare personally anahusika ktk ununuzi wa luku.Hata ukisikia IPP wana iba umeme au AZAM huwezi kusema Mengi or Bakhresa wana-iba umeme. haya ni makampuni jamani,hayaendeshwi kama tunavyoendesha familia zetu. Tujadili hoja,Tutumie ufahamu wetu vizuri, tuache jazba na tusiponzwe na wanasiasa wenye interest zao katika kila statement wanayoisema.
 
Taarifa iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Nishati na madini Mh. Mhongo kuwa shule za St. Mary zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatale ni miongoni mwa wezi wakubwa wa shirika la umeme TANESCO imemvua nguo mama huyu ambaye pia ni mbunge viti maalum kupitia CCM.

Hizi si tetesi tena kwa kuwa mh. Waziri anaushahidi juu ya alichokisema Bungeni, hivyo sijui Mama huyu atakuwa na mahubiri yapi kujishafisha kwa kondoo wake. Pia hali hii inaleta picha kuwa kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakitumia Ubunge wao kama kivuli ili waweze kuiba rasilimali za nchi hii. Inasikitisha kuona mchungaji, mbunge, tena wa viti maalum anafanya upuuzi kama huu.

Kwa ushahidi huu kweli ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.

Je unajua chochote kuhusu NGO iliyokuwa inaitwa MISSION TO THE NEEDY?!
 
Je unajua chochote kuhusu NGO iliyokuwa inaitwa MISSION TO THE NEEDY?!

Ha ha haa.........naikumbuka vizuri sana na yule Mganda aliyeingizwa mujini na huyu mama:

" A generous man will himself be blessed (by God), for he shares his food with the poor." (Pr.22:9),

"Blessed is he who has re-guard for the poor; the Lord delivers him in times of troubles....the Lord will sustain him on his sick-bed and restore him from his bed of illness."(Ps.41:1:3).

I do hope this ''lord'' is with this Mama​
 
Hakuna Tajiri yeyote atakayeuona ufalme wa mungu hakuna,kiuchumi inasema you cannot make someone well-off without making someone else worse-off,ukiona we umepata kitu basi ujue kuna mtu umenyonya huko ambao ni dhambi ndio maana waslamu hawataki kitu kinachoitwa riba!! Matajiri wote ni wezi wakubwa na madhurumati,just imagine wafanyakazi wao wanafanya kazi mazingira magumu na masaa mengi lkn ujira mdogo sana!
Hayo maneno umeyatoa kwenye biblia? So wewe hutamani kua tajiri? unatamani kufa maskini ili uuone ufalme wa Mungu? Lakini biblia hiyo hiyo inazungumzia Mungu kua yeye ni tajiri na huwakirimia watu wake sawasawa na utajiri wake.pia ninavyojua biblia haimaanishi ni vigumu kwa tajiri kuingia ktk ufalme ,unaweza ku-cross check, inazungumzia ni vigumu kwa wanaotegemea mali kuuona ufalme wa Mungu.sio matajiri
 
huyu mama hana uchangaji wala nini...amekalowesha kakijana ka mwanamke mwezie mapenzi ya kimama kijana hataki kuoa. Mama mmpuuzi sana huyu. Anakemea mapepo wakati usiku anamchosha kijana wa watu halafu dogo kabisa. Ushetwani mwingine kero sana. Sishangai yeye kuiba umeme manake hata mapenzi anafanya ya wizi

mweeeeeeeee kumbe ana kaserengeti boys mimi huwa najiuliza sana anatatuliaga wapi shida zake maana anaonekana ana nygg nyingi sana
 
mweeeeeeeee kumbe ana kaserengeti boys mimi huwa najiuliza sana anatatuliaga wapi shida zake maana anaonekana ana nygg nyingi sana


Na anajua kushukuru si pole pole manake huyu Dogo maisha yake yako super.
 
Hivi Kamapuni ikipata nishani anayesifiwa si mwenye kampuni?Iweje ikipata matatizo watupiwe managers?:sleepy:
 
Huyu mama hana uchangaji wala nini...Amekalowesha kakijana ka mwanamke mwezie mapenzi ya kimama kijana hataki kuoa. Mama mmpuuzi sana huyu. anakemea mapepo wakati usiku anamchosha kijana wa watu halafu dogo kabisa. Ushetwani mwingine kero sana. Sishangai yeye kuiba umeme manake hata mapenzi anafanya ya wizi


Hii ukipeleka kule kwa Shigongo atauza sana......
 
Back
Top Bottom