Recent content by ressyrutta

  1. ressyrutta

    Elimu ya watu maalumu

    Napenda kuuliza: Elimu ya watu maalumu inatolewa chuo gan hapa Tanzania? Nauliza upande wa ngazi ya astashahada ya watu wenye ulemavu.
  2. ressyrutta

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Jaman ndugu zangu mfumo wa kutuma application za ualimu sijauelewa naomba Kama Kuna mtu anafahamu pale kwenye kipengele Cha academic qualification kwa upande wa astashahada gred IIIA unaweka nn pale koz kila nikiweka inakataa ,na upande wa University/collage transcripts kwa mwalimu wa gred IIIA...
  3. ressyrutta

    Kupotea kwa mtoto

    Msaada wanajamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ressyrutta

    Kupotea kwa moto

    Msaada jaman wanajamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ressyrutta

    Kupotea kwa mtoto

    Msaada jaman wanajamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ressyrutta

    Kagera, Ngara: Magari ya Mizigo 5 na Trekta 1 yateketea kwa moto Rusumo

    Doh poleni saana kwa wote mliopatwa na matatizou Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ressyrutta

    Tukumbushane wanawake(Jifunze kuishi bila yeye)

    Ushauri wako nimzuri ila nikiuchambua kamavile unawapotosha wanawake namaanisha kuwa nyumba inafahari mmoja sasa wakiwa wawili hvi neno ndoa litakamilika kweli hapa wakati mwngine sio sahihi kwakuwa mwanamke kwenye familia anabaki kuwa mwanamke na mwanaume anabaki kuwa mwanaume tu na mwanamke...
  8. ressyrutta

    Dah! Kwa hili nimeumia sana

    Nikweli kabisa br
  9. ressyrutta

    Dah! Kwa hili nimeumia sana

    Thats fairness
  10. ressyrutta

    Dah! Kwa hili nimeumia sana

    Hv ww upo sawa kiakil?au ujaelewa stor ya mshikaji au ndoupo muhimbili sacatric?
  11. ressyrutta

    Dah! Kwa hili nimeumia sana

    Pole saana wanawake ni dynamc unpredictable ushaur usiwekeze akili yako saana kwa mwanamke atakama kwao wanakufahamu angalia maisha yako br ata mgao wa akili mwanamke alipewa akili moja we ukapewa akili tisa sasa zitumie izo tisa vizur kaka
  12. ressyrutta

    Simu zinauzwa bei ya kutupa

    Wabongo bhana ila ndivyo tulivyo kozi ukiambiwa kiatu Tsh 90000 ni bora unune kuliko kiwe Tsh 20000 upo tiari upoteze 50000 kwasababu hujui bei halis na haujui kwann kinauzwa Tsh20000 jamani kama unanua taratibu za manunuzi zinafahamika kama hunapesa unauchuna sio kutoa sifa mbaya kwa mtu mwizi...
  13. ressyrutta

    Simu zinauzwa bei ya kutupa

    Ok asante ntaiweka sawa ndugu
  14. ressyrutta

    Simu zinauzwa bei ya kutupa

    Haina shida ndugu
  15. ressyrutta

    Simu zinauzwa bei ya kutupa

    S6ege 500000 mwisho 450000 j7neo 400000 mwisho 350000
Back
Top Bottom