hahahahah[emoji3][emoji3]
hahahahah[emoji3][emoji3]
hahahahah
Thats fairnessI
I bet he'sn't mentaly ok.
Mgumu sanaHahaa kwahiyo wengine humu kwenye comments mnamaanisha kuwa mtoa mada kaachwa kisa hana pesa
Kwakweli huwa hawa huwa hawatabiriki. Halaf mwanamke ambae anataka ndoa kwa nguvu. Ukimwambia kwa sasa sina uwezo subiri nijipange.. huwa wanakuacha. Sababu wmekosa walichokuwa wanakitafita kwako.Pole saana wanawake ni dynamc unpredictable ushaur usiwekeze akili yako saana kwa mwanamke atakama kwao wanakufahamu angalia maisha yako br ata mgao wa akili mwanamke alipewa akili moja we ukapewa akili tisa sasa zitumie izo tisa vizur kaka
Nikweli kabisa brKwakweli huwa hawa huwa hawatabiriki. Halaf mwanamke ambae anataka ndoa kwa nguvu. Ukimwambia kwa sasa sina uwezo subiri nijipange.. huwa wanakuacha. Sababu wmekosa walichokuwa wanakitafita kwako.
Lakin baadae ukifanikiwa anaanza kukutafuta kwanguvu.
Unaposema I was take easy una maana mkuu, any way kiufupi hapo umeingia cha kike .........hujaoa, hujatoa mahari. Endelea na maisha yako.Habari wanajamvi JF natumai muwazima kabisa.Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumban ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae akanielewa ila alitaka nimuoe coz hatak kuchezewa so nami nikamwambia hilo halina shida ila kwa sasa bado sipo vizuri cha msingi nivumilie nijipange kwanza akanielewa baada ya kumweleza hvyo.Tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu had ndugu zangu walijua hilo na huyu nduguye pamoja na mama ake walifahamu,so alikuwa anakuja anytime kwa nduguye ili iwe chance nzuri ya kuonana lakn miez miwili iliyopita ndo shda ikaanza ambapo tulikubaliana tukutane somewhere lakn akashndwa kufika na nilimpgia cm hakupokea na sms hakujibu kwa siku hiyo.Baada ya hapo nikawa kimya kumsikilizia kama atanieleza kwa nn hakupokea cm na hakujibu sms zangu,so nae akawa kimya kabisa kuhusu hilo baadae kama wiki 2 hivi akanipigia cm anieleza kuwa amesafir so baada ya hapo nilijiuliza maswali mengi sana kwa nn ameondoka pasipo kuniaga ila nikatulia kimya sikumuuliza chochote kuhusu hilo,na huko amekaa mwezi na kidogo ila anakaribia kurud akaniomba nauli nikamwambia kwa sasa sina hela so labla nikipata hiyo hela.
Nikiwa bado sijamtumia hela ya nauli akanipigia cm akinambia kuwa amesharudi na anaumwa sana so dawa umepata akanijbu kuwa bado hajapata nae hana kazi ya kumpatia hela nikamjibu kuwa anisubiri siku mbili hivi nikipata nitampa akanikubalia so kuna siku sina hili wala lile akaja home asubuhi bila taarifa hadi wengne waliponambia kuwa amekuja so kwenda kumcheki anadai anaumwa sana na muda huo ni jion so I was take easy kwa hilo kwan ameekuwa na tabia hii ya kuja pasi na taarifa nami nilishaongea nae japo hakunielewa.
Baada ya kukaa nae kwa muda mfupi nikamwambia kuwa kuna kaz so anisubir na asiondoke bila ya kuonana kwan kuna jambo la kuongea,akajbu sawa me nikaondoka baadae nampigia cm anajibu ameshaondoka ila imekuwa ghafla.Nikiwa nawaza kchwani mbona hataki tuongee but I was take easy lakn kuna siku nikamwambia kuwa nahtaji uwe mtu wa kueleweka na muwazi ila iwe rahis kufika malengo tarajiwa akanielewa japo kwa shngo upande.Siku nazo zikapita tabia ya mtoto wa kike nikawa siielewi so kuna sku nikamtumia sms kuwa nahtaj tuonane hakujbu ila kuna jamaa akaanza kuchat nami na akanitumia namba ya yule bint akiniuliza mwenye namba ile nani wangu nikamjbu kuwa ni best yangu akanambia kuwa yeye ni mke wake ata nyumbani anafahamika,baadae nikampgia cm yule jamaa akanambia kuwa kama alivyonieleza kuwa ni mke wake so niachane nae so nikaona ngoja nimpgie mtoto wa kike kumpgia akawa anaongea kwa was was ila tukaongea kdogo nikakata cm,nikiwa bado siamin akanimiss call kumpgia akapokea yule jamaa akinambia kuwa niachane kabisa na mke wake kwani atanipoteza so had hivi sasa nipo dilemma kabisa na nmeongea na nduguye wa huyu bint nae hajui chochote kama ndugu yake ameolewa kwani hana taarifa hiyo ndo mana hata mama yake alinifahamu ila binti amekuwa kmya tangu sku hiyo had leo wiki ya 3 sasa na hata kuja huku haji na kila akiambiwa aje na nduguye kuja kuyaongea anakwepa.
So ushauri please wadau
Mkuu umekatwa kichwa, coz unang'ang'ania wakati jamaa kakuambia ni mke wake. acha mambo yako hayo. mbona wanawake wengi sanaaaaa.........OMBA MUNGU AKUPE WA KUFANANA NA WEWEHabari wanajamvi JF natumai muwazima kabisa.Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumban ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae akanielewa ila alitaka nimuoe coz hatak kuchezewa so nami nikamwambia hilo halina shida ila kwa sasa bado sipo vizuri cha msingi nivumilie nijipange kwanza akanielewa baada ya kumweleza hvyo.Tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu had ndugu zangu walijua hilo na huyu nduguye pamoja na mama ake walifahamu,so alikuwa anakuja anytime kwa nduguye ili iwe chance nzuri ya kuonana lakn miez miwili iliyopita ndo shda ikaanza ambapo tulikubaliana tukutane somewhere lakn akashndwa kufika na nilimpgia cm hakupokea na sms hakujibu kwa siku hiyo.Baada ya hapo nikawa kimya kumsikilizia kama atanieleza kwa nn hakupokea cm na hakujibu sms zangu,so nae akawa kimya kabisa kuhusu hilo baadae kama wiki 2 hivi akanipigia cm anieleza kuwa amesafir so baada ya hapo nilijiuliza maswali mengi sana kwa nn ameondoka pasipo kuniaga ila nikatulia kimya sikumuuliza chochote kuhusu hilo,na huko amekaa mwezi na kidogo ila anakaribia kurud akaniomba nauli nikamwambia kwa sasa sina hela so labla nikipata hiyo hela.
Nikiwa bado sijamtumia hela ya nauli akanipigia cm akinambia kuwa amesharudi na anaumwa sana so dawa umepata akanijbu kuwa bado hajapata nae hana kazi ya kumpatia hela nikamjibu kuwa anisubiri siku mbili hivi nikipata nitampa akanikubalia so kuna siku sina hili wala lile akaja home asubuhi bila taarifa hadi wengne waliponambia kuwa amekuja so kwenda kumcheki anadai anaumwa sana na muda huo ni jion so I was take easy kwa hilo kwan ameekuwa na tabia hii ya kuja pasi na taarifa nami nilishaongea nae japo hakunielewa.
Baada ya kukaa nae kwa muda mfupi nikamwambia kuwa kuna kaz so anisubir na asiondoke bila ya kuonana kwan kuna jambo la kuongea,akajbu sawa me nikaondoka baadae nampigia cm anajibu ameshaondoka ila imekuwa ghafla.Nikiwa nawaza kchwani mbona hataki tuongee but I was take easy lakn kuna siku nikamwambia kuwa nahtaji uwe mtu wa kueleweka na muwazi ila iwe rahis kufika malengo tarajiwa akanielewa japo kwa shngo upande.Siku nazo zikapita tabia ya mtoto wa kike nikawa siielewi so kuna sku nikamtumia sms kuwa nahtaj tuonane hakujbu ila kuna jamaa akaanza kuchat nami na akanitumia namba ya yule bint akiniuliza mwenye namba ile nani wangu nikamjbu kuwa ni best yangu akanambia kuwa yeye ni mke wake ata nyumbani anafahamika,baadae nikampgia cm yule jamaa akanambia kuwa kama alivyonieleza kuwa ni mke wake so niachane nae so nikaona ngoja nimpgie mtoto wa kike kumpgia akawa anaongea kwa was was ila tukaongea kdogo nikakata cm,nikiwa bado siamin akanimiss call kumpgia akapokea yule jamaa akinambia kuwa niachane kabisa na mke wake kwani atanipoteza so had hivi sasa nipo dilemma kabisa na nmeongea na nduguye wa huyu bint nae hajui chochote kama ndugu yake ameolewa kwani hana taarifa hiyo ndo mana hata mama yake alinifahamu ila binti amekuwa kmya tangu sku hiyo had leo wiki ya 3 sasa na hata kuja huku haji na kila akiambiwa aje na nduguye kuja kuyaongea anakwepa.
So ushauri please wadau
Man hiyo ni non-sense. Sababu yako ni weak sana.Wewe ulikuwa mgumu ukatoswa
Mtu anakwambia anaumwa wewe wamwambia angoje siku 2 ukipata hela
Wewe si muuaji?
Leo umemfanyia hivyo kesho ukiwa ni Mke si utamuacha kwa ugumu wako?
Umempeperusha mwenyewe
Mchizi niaje jooh.....RaisMan hiyo ni non-sense. Sababu yako ni weak sana.
Iko hivi si muda wote mtu anapesa sometimes.. mtu anakuwa hayuko vizuri. Kuumwa hakuna ratiba jmn, unaeza umwa kipindi hakuna hela na wkt mwingine unaweza umwa wkt una uwezo..
Kwa scenarion ya huyu jamaa.. kosa lake ni pale alipomwambia demu kwamba hali yake haiko vizuri so ajipange ndio aoe.
Unaona kabisa demu alikuwa na shida ya ndoa na alipoona amekosa kwa jamaa hata kama mchizi alikuwa na nia njema akaona amteme mchizi.
Wito wangu kwa mchiz.. yeye kama yeye kwasasa suala mademu aliweke pending. Aachane na mapenzi. Ajijenge kimaisha kwanza...
Ni powa manMchizi niaje jooh.....Rais