Recent content by Remmygius

  1. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Hakuna utamu wa pombe tuacheni kuikuza

    Hauwezi kuteswa na matendo ya mtu mwingine, jitafakari na jua ni nn unakipigania
  2. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

    Propaganda
  3. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Gharama sahihi za skimming inategemea na ukubwa wa nyumba au vyumba, kwahiyo ni muhimu kutembelea site kufanya survey.
  4. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Tumia wall putty, white skim ni nzuri zaidi. Na kama bado hujapata fundi karibu tukuhudumie kwa finishing yenye ubora.
  5. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Proffesion; Skimmingi plaster and finishing, Experience; 2 years, Education; certificate in community development, Location; mbeya.
  6. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Heroes never die, never retire and never wait.
  7. Remmygius

    JamiiForums Tanzania NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

    Binafsi, kitendo cha kiongozi mkubwa wa Chama kuchaguliwa/kupitishwa na watu wachache such as central committee ni ukiritimba. Ipendekezwe upya maamuzi ya mustakabali wa Chama yapitishwe na mkutano mkuu, ili kuondoa sintofahamu.
  8. Remmygius

    JamiiForums Tanzania KWELI Hiki ni Kimbunga cha Maji

    Tsunami hiyo
  9. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Hatujaumbwa kukimbia tatizo, Bali kutatua!!!
  10. Remmygius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Yanga 1 - 2 prisons
  11. Remmygius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

    Viongozi wenu wanasajili mfungaji, Wanafikiri kutokushinda ni kosa LA mfungaji..!!!
  12. Remmygius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

    Nondo uchochoro, huwa anatoa assist ya kujifunga
  13. Remmygius

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga tukutane hapa

    Hamna kocha pale, mchumia tumbo tu
Back
Top Bottom