Recent content by Rembwe

  1. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Huu ni umbea, mtoa madam angetaja shule, walimu, na mifano ya wanafunzi walioachishwa masono. Asa wenye mamlaka watashughulikaje na hii stori ya kilabuni.
  2. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Mwenye mawasiliano plz. Tupo tunaelekea mitaa hiyo
  3. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nguzo za Umeme zimekatika Nyasaka (Mwanza), tumeripoti TANESCO hawatujali Wananchi

    Boss. Naomba namba za mtu anayeweza kunifikisha eneo Hilo. Ili tuchukue hatua
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa magari mazuri na bei nzuri Mwanza na Dar

    Pow. Endelea kutafuta mteja
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kijana auliwa na wasiojulikana Mwanza

    Wapo wakuitwa watoto wa wakoma Mwanza hapo ni noma sana Hao wapi wapi boss
  6. R

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Eleza kwa mapana. Yan malalamiko Yako yana mashiko lkn umeeleza kwa mafumbo A to Z
  7. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuombwa rushwa ili mgonjwa wako aongezewe Damu hospitali?

    Onesha picha ya malipo uliyofanya kama ni kweli. Lah sivyo utakuwa mzushi tu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuombwa rushwa ili mgonjwa wako aongezewe Damu hospitali?

    Acha uongo. Bugondo kuchangia damu ni bure
  9. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Ni audio ya maneno kabisa au? Mtoa mada atufafanulie
  10. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Nasubiri majibu
  11. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari Watarajali Hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro tunadhalilika mitaani kwa kucheleweshewa posho za kujikimu

    Hadi Leo hamjapewa? Na ni internship ya serikali au? Yani mmepelekwa na serikali au mmeomba kupitia hospitali
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Kaka yangu ananitishia kuwa ataniua

    Mm naona familia yenu imejaa ubaguzi na ubinafsi ndio maana. Mngekuwa mnasaidiana kama ndugu hayo yote yasingetokea. Ww kama umefanikiwa umeshindwa kumwinua nduguyo? Kwa nn hamsaidiani kama ndugu? USHAURI ni kwamba Saidianeni, pendaneni, na shirikianeni, ninyi ni ndugu mtaona ladha ya upendo...
Back
Top Bottom