Recent content by REJESHO HURU

  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania shekhe zubeir jitafakar.

    Sheria za dini ni kwa maskini tu wewe uliona wapi mjane wa kislam aliyeeda anakumbatiwa kwani lini uislam unaruhusu mwanamke kukumbatina na mwanaume asiye mumewe
  2. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Sasa kama nchimbi wamemua na wana ccm wakiendelea kucheka si watakuwa machizi siyo ccm tu hata watanzania tutakuwa matahira tuliopitiliza hii itakuwa na maana sasa hii nchi haina haki na hakuna haja yakuwa na vyombo vya dola na hakuna maana yakujiita inchi ya demokarasia kama mtu anachukuliwa na...
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Wanakuelewa sasa wana ccm tuzidishe ty maombi wewe ona ikulu imegeuzwa ukumbi wa sinema Rais kafiwa basi kila mtu anaenda kumuona Rais si wangeweka kitabu cha maombolezo ingetosha tu kesho utashanga wale wadada A LIST nao wanaenda mpa pole Rais
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wamasai wenye rasta walitulizwa na Masai rapa, mwenda pole hajikwai, alijikwaa baada ya kutegwa na jiwe kubwa, hakunyanyuka tena!

    Haaa haaa bro anainamisha polepole aliamini anaweza kuhimili vishindo matokeo yake akashindwa wakapita naye mazima na he is no more kwani wakikuchukua wao ni kuuwa tu na wanajiamini kwa kauli za hawajui yupo wapi kwani polepole alingia nchini kwa njia ya magendo alishukia malawi akaingia tz kwa...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Ebu kamsikilize brand
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Hawa si ndio wale wanafungiwa nakapush agenda za ajabu ajabu wakiamini watabadilisha upepo
  7. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Wachaga kwenye pesa wanauza hata utu wao wewe fuatulia vijana wengi walioshinda kulinda migongo yao ni vijana wakichaga sababu ya tamaa
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Unapagawa kusikia mkuu wa majeshi unazani wana akili sasa hao wangelikuwa na akili wasingekubali maauji ya octoba 29 hao ni vilaza tu ndio maana wamepewa vyeo vikubwa ili watumike wafuate upepo ngoja uone wanavyoenda zalilishwa ndio utajua hii nchi vilaza ndio wenye mamlaka
  9. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu waislamu hebu legezeni kamba za imani, kiongozi wa kitaifa akitangulia isiwe tangazo la msiba saa nne, saa nne, saa saba maziko

    Maisha yaendeshwa na utamaduni dini ya uislam ni utamaduni wa waarabu uko ambao maeneo yao joto ni kubwa sana kwaiyo kukaa na maiti siku moja au mbili ilikuwa ina haribika kwaiyo kimbilio lao ikawa nikuzika haraka sana mtu akifa ili asiwaharibikie so nasisi tumeiga huo utanaduni pasipo kujua...
  10. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Mange yupo smart sana kichwani na anajua kusukuma kete zake vizuri sana yani siku hao META wamuachie patachimbika
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumuhallaisha huyu dogo wao kwenye nafasi ya umakamu wa Rais

    Tuzidi ombea taifa hili maana limekosa muelekeo kabisa mungu tusaidie
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwa kejeli na dhihaka zinazoendelea mtandaoni kuhusu waliorudishwa kutoka South Africa. Wabeba Boksi hiyo ni alert

    Gangwe mob waliimbaga ule wimbo nje ndani watu wengi hawakuelewa nadhani ni muda muafaka sasa ukaanza kuchezwa na ukafanyiwa uchambuzi
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Umepiga utosini vijana wa dar es salam wakifika nje baada wafanye kazi wanataka starehe za kishamba bange pombe na uzinzi wansahau umri si rafiki anakuja stuka umri ndio huo kurudi nyumbani aibu hata hao waliorudishwa ni kwa vile tu kuna shida hawakuwa tayali kabisa kurudi nyumbani kutokana na...
  14. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Acha utoto umeambiwa jina ni finger print kuwa ukiwa nalo wewe mwingine hawezi kuwa nalo
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

    Hivi wewe unaweza kuwa unakijua chama cha mapinduzi kuliko nchimbi au unaijua serikali kuliko nchimbi nyie nani kawaloga mnakuwa matahira kiasi hiki
Back
Top Bottom