AN Sumbawanga to Dom Nilipanda Hilo basi kutoka Mpanda to Tabora.Ni kama daladala lilijaza kupita kiasi watu waliosimama ni kama ishirini hivi.Kufika mzani baadae ya Inyonga uzito ulizidi nacwalikua na fine before tukakaa saa moja na nusu ndio tukaruhusiwa.Lile basi dereva na konda wake mdada...
Nilijua hili litakuja kutoa.Kwa wasiomjua Ruto ni kiongozi katili mwenye misimamo.Bila Ruto second term Kenyatta asingekua raising ni Ruto aliyemshauri Kenyatta kukaza mpaka uchaguzi uliporudiwa.Ruto asiposhauriwa na kusikiliza ushauri watu wengi watauawa Kenya na itamtia doa na kuwa
downfall...
Habari wandugu,
Kama unakijua Kinyarwanda au unamjua mtu anayekijua Kinyarwanda kuna kazi ya transcription (kuandika kile unachokisikia). Ni kazi ambayo itadumu kwa muda wa miezi 3. Malipo ni dolla 0.75 kwa dakika ambayo ni sawa na usd 45 kwa saa.
Kutakua na trainining bure kabisa kabla kazi...
Mkuu Pascal hilo haliepukiki na hao jamaa ni wazembe kwa kutumia tu common sense ni nchi chache sana zitakupokea itakua kama chanjo ya manjano huna baadhi ya nchi huingii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.