Recent content by reflector master

  1. R

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    Anatakiwa achomwe moto kabisa tena na tairi watu wakiiba Nguo tu wanachomwa yeye kaiba hela zote hizo afu anatusanifi kuzirudisha
  2. R

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja arejesha fedha za mgao wa Escrow kiasi cha Tsh Milioni 40.4

    Inabidi afungwe huyo ni mhujumu uchumi
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ngazi ya IGP kazi nyingine anayostahili ni ipi??

    Kwani lazima ateuliwe kuwa mtu flani,mbona kibao tu waliotumbuliwa hawajapangiwa vyeo vingine ??? Mbona kibao tu ambao hatuna ajira na tuna vyeo vya master??
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ajali tuziangalie kwa jicho la pili. Sio za kawaida kabisa; inafanana za wakati wa uchaguzi

    Vitu vyote vinawezekana either Barbara mbovu coz ya mvua au uzembe Wa Dereva au pia ushirikina msijifanye hamjui ushirikina ukute mnaobisha ndo wachawi kwanza kama mungu mwenyewe alimuumba shetani kwa nini ushirikina usiwepo msijione mna kijielimu cha chuo ndo mjifanye hamjui ushirikina nyie ndo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Hivi kwa mtu mwenye F ya phyis O level na amesoma CBG advance anaweza akasomea nursing na medical lab au pharmacy??
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Hiyo miili ya waliouawa hao majambazi mbona hatujaiona?? Kwa nini wasingewakamata ili watoe siri na trend nzima ya mtandao Wa majamabzi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

    Na vipi endapo bunge likafanikiwa kumtoa watafanyeje kwa upande wa jeshi maana ndo mkuu wao
  8. R

    JamiiForums Tanzania Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    Non sense lala tena uendelee kuota
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: UDSM vs Makerere vs University of Nairobi

    Mi nasoma UDSM ,kiujumla bongo ni elimu ya makaratasi tu no research no reality yani full theory na slides ndo maana products haziwezi kufanya chochote mtaani pia serikali haitoi kipaumbele kugharamikia research hata ukiwa mzuri no money no research viongozi wenyewe ndo vile ubashite mwingi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TRA yamwita Mbowe mahakamani kisa hakutumia mashine ya EFD Club ya Bilcanas

    Wamwite na bashite sio kila siku wapinzani
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hii nchi inaonekana kuna watu wako above the law ,wakat wanyonge kama sisi tunafanyiwa uhakiki Mara mbili tatu aisee inauma sana hii nchi is totaly unfair no equality
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Et mwandishi wa habaro **** tu wew unataka kutetea vitu vinavyoonekana pumbafu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Watu wanamjaribu Rais Magufuli kupitia Makonda

    According to Plato leaders lazima awe golden boy yani bright sio nyumbu brain
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuahirisha mwaka wa masomo SAUT.

    Nenda kwa dean yeye ndio atakupa muongozo wote ,ila kiufupi utaandika barua ya kawaida tu yenye sababu za msingi za kumfanya ahairishe Mwaka na uthibitisho kamili ila ni vizuri ukaiandika hapo hapo chuoni ukiwa na dean kuliko kuituma kwa e-mail
Back
Top Bottom