Msaada wakuu kuahirisha mwaka wa masomo SAUT.

Msaada wakuu kuahirisha mwaka wa masomo SAUT.

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,187
Reaction score
6,373
wakuu,heshima kwenu
kwa unyenyekevu heshima na taadhima nipo chini ya miguu yenu naomba mnisaidie kufanikisha hili.nina ndugu yangu kachaguliwa chuo kikuu Augustine campus ya Arusha yani SAUT-Arusha course ya ualimu in arts.sasa yeye ana matatizo makubwa sana ya afya na anaumwa sasa hali yake mbaya nami ndio msaada kwake,iko hivi now kanitumia sms kuwa anatakiwa aahirishe mwaka wa masomo ili akatibiwe ni anasumbuliwa na kichwana masikio hasikii vizuri,sasa nimeambiwa kuwa hyo barua naandika na kuituma kwa email ya chuo.
hivo naomba kusaidiwa sample ya barua au anaefahamu jinsi ya kuandika hyo barua na baadhi ya details?
[HASHTAG]#nisaidieni[/HASHTAG] wakuu.
 
Nenda tu pale kuna lecturer moja anaitwa Kamau Ni DDAA au ulizia BARAKA nae ni lecture watakupa muongozo. Ni simple sana
 
Jamani naomba mnisaidie anaefahamu jinsi ya kuiandika barua na anuani zake kwa SAUT Arusha centre kwa ajili ya kupostpone masomo.
 
Nenda kwa dean yeye ndio atakupa muongozo wote ,ila kiufupi utaandika barua ya kawaida tu yenye sababu za msingi za kumfanya ahairishe Mwaka na uthibitisho kamili ila ni vizuri ukaiandika hapo hapo chuoni ukiwa na dean kuliko kuituma kwa e-mail
 
Its very simple go to the particular university administration and they will assist you
 
Its very simple go to the particular university administration and they will assist you
poa mkuu,thanks sema shida iko vp mi nipo dar na huyo ndugu angu yupo mbeya na hamna mtu mwngne wa kumsaidia huko.
 
Nenda kwa dean yeye ndio atakupa muongozo wote ,ila kiufupi utaandika barua ya kawaida tu yenye sababu za msingi za kumfanya ahairishe Mwaka na uthibitisho kamili ila ni vizuri ukaiandika hapo hapo chuoni ukiwa na dean kuliko kuituma kwa e-mail
nimekuelewa sana mkuu,sema tatizo ni kwamba siwezi kufika huko arusha nayey..yupo mbeya hana msaada mwngne,so nafkiria kuituma kwa email.
 
Back
Top Bottom