Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

Aslatz

Member
Mar 19, 2017
73
80
Habari wanajukwaa la Elimu

Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree
  • Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
  • Marketable course in terms of Employment opportunities
  • Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
  • Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
  • Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali
  1. NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU UNDERGRADUATE KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU
  • MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB na Diploma zinazo relate na hii combination
  1. Doctor of medicine Ina high competition kwa Vyuo vyote Kama ufaulu mdomo kuwa Makin katika kuichagua
  2. Bsc. Pharmacy
  3. Bsc. Nursing
  4. Bsc. Medical laboratory science
  5. Bsc. Microbiology
  6. Bsc. Molecular biology & Biotechnology
  7. Bsc. Biotechnology & Laboratory science
  8. Bsc. Food science & Technology
  9. Bsc. Agronomy
  10. Bsc. Animal science & production
  11. Bsc. Wildlife management
  12. Bsc. Veterinary medicine
  13. Bsc. Forestry
  14. Bsc. Agricultural general
  15. Bsc. With Education
  • MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCM na diploma zinazo relate na Tahasusi iyo
  • All field of Engineering hasa
  • Civil Eng,
  • Mechanical Eng,
  • Electronics & Telecommunications Eng,
  • Electrical Eng,Computer Eng,
  • Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
  • architecture, Quantity Survey, Geomatics,
  • Actuarialscience, Computer science, ICT,
  • Chemical & Processing Eng
  • Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
  • Geology,
  • Engineering geology
  • Bsc. With Education
  1. MUONGOZO kwa Tahasusi ya CBG CBG & CBA na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
  • ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB ISIPOKUWA (M. D) KWA MUONGOZO MPYA WA TCU
  1. MUONGOZO kwa Tahasusi ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
  • ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
  1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
  • Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
  • Bsc. Building Econmics
  • Bsc. Actuarialscience
  • Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
  • Bsc. Architecture
  • B. A Economics & Statistics
  • Bsc. Computer science , Bsc ICT
  • B.A land management & Valuation
  • B. A Economics
  • B. A Accounting & Finance
  • Bsc. With Education
  1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA na diploma zinazo relate nazo
  • Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
  • B. A accounting & Finance
  • B Business Administrator ( Accounting & Finance)
  • B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
  • B. A with Education
  1. MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
  • LL. B (B. Law)
  • B. Land management & Valuation
  • B. A Human resource management
  • All kozi relate with community development & Planning
  • B. A with Education
 
Ivi wale watu wenye GPA ya 2.9 tusema hawawezi tena kusoma Bachelor ?

Acha nikujibu hili chap, (hata kama mimi sio mwanzisha Uzi, natumia tu kiherehere hapa kukujibu).

Kwa "kanuni za mashindano" tulizonazo kwa sasa yaani vigezo vya kujiunga na elimu ya chuo kikuu kwa wale wanaotokea diploma, GPA hiyo ya 2.9 haitoshi. Kiwango cha chini ni GPA ya 3.0. Labda kama TCU na washirika wao NACTE watasema vinginevyo. Kwa kifupi ni kwamba hiyo GPA haitoshi kwa vigezo vya sasa.

Cheers!
 
Hivi kwa mtu mwenye F ya phyis O level na amesoma CBG advance anaweza akasomea nursing na medical lab au pharmacy??
Udahili unatumia masomk ya advance so haijlish kam alifel physic o-level kikubw tu advanc awe na credt nzur zitakazofit kweny competition
 
Yan umelenga mule mule nilipokuwa nafikilia basi kumbe yawezekna maono yngu yatakua na tija nimeitimu diploma in general agriculture last year mwaka huu nilikua nataka nirudi chuo kuchukua Agricultural economic & agribusiness na nimeona imepewa priority apo katka uzi wako hii ni motivation kwangw
 
hv ndg kozi za community dvp and planning,zinasoko kwa usawa huu wa magu
Kuhusu soko lake liko chini lkn uhitaji wake always Upo na Wana nafasi kubwa kutokana na Kila maendeleo yanayotokea ktk jamii nao wanahusika Kuiandaa jamii kupokea hay mabadiliko so Kama utalenga ajira ya moja kwa moja sikushauri
 
Ahsnte sana mkuu kwa uzi huu mimi niko kazini mwalimu je bachelor of education in policy, planning and management itanisaidia na vyuo gani vinatoa kozi hii?

Yeah inaweza kukusaidia but kikubwaaa ni juhudi binafsi AMBAZO Zitakuongoza kuweza kuyafikia mafanikio yako plus uvumilivu pia kutokana na changamoto zilizopo ktk soko la ajira na kwa chuo kimoja wapo ni University of Dodoma wanatoa iyo kozi
 
Kuhusu soko lake liko chini lkn uhitaji wake always Upo na Wana nafasi kubwa kutokana na Kila maendeleo yanayotokea ktk jamii nao wanahusika Kuiandaa jamii kupokea hay mabadiliko so Kama utalenga ajira ya moja kwa moja sikushauri
 
Yeah soko la LLB always liko stable but kikubwa ni kuwa competent KATIKA career yako Na mafanikio yatakuwa Jirani yako kutokana na jitahada zako.
Kila la Kher ktk hilo
 
Back
Top Bottom