Recent content by redwine

  1. redwine

    Mbunge wa Mbeya alikuwa mkimbizi wa Kirundi, Je ni kweli?

    Halafu mbona we mjeshi umekomaa na sugu wivu ni mbaya,mbona mzee mkapa an asili ya msumbiji lakin aliongoza nchi vizur zaid ya handsome kikwete,obama hapend ubaguzi.
  2. redwine

    Bashe ajipanga kugombea Igunga

    Igunga hawapendi kutawaliwa na mweusi,yaani mwalabu koko,muhindi nk ata mimi nkivaa maski ya kizungu watanipa tu.
  3. redwine

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    Jamani Binadamu tunatofautia hawa jamaa wa Igunga wanakosea sana Igunga naifahamu vizur ebu watueleze kuna maendeleo gan,kama umeme ni haki yao ata asingekua Rostam ungepatikana,kama mgao Igunga ndo umezidi,Igunga inahitaji maombi ili ilo pepo la ombaomba litoke.
  4. redwine

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    selikari yetu kama umeiba kuku ndo hua ushaid unapatikana.
  5. redwine

    Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

    Hii ni aibu ya kichwa cha mwendawizimu,na sizan kama kikwete an aman ndan ya moyo wake.
  6. redwine

    Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

    acha kuangalia mieleka wewe inapotosha.
  7. redwine

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Very good mkwawa,Gadaf muda alio kaa lazima wamchoke haijalish alifanya mangap kwa wananch wake manake sie kikwete miaka sita lakin tunataman angelitoka hata leo tu,yaani viongozi wa Africa wanashangaza angalia kikwete anasababisha tuichukie nchi yetu kwasababu ya umeme,na siku tukiandamana...
  8. redwine

    Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

    Mi nimekupata vizuri Sugu ingawa wengine hawataki kukusoma,lakin kazi hunayo manake wasanii wetu mara rahisi wamasharobaro,rahisi wawasafi,nk.Mpaka wakuunge mkono wanahitaji elimu yakutosha ili wazitambue haki zao.
  9. redwine

    Rais Kikwete ziarani tena, Tanzania ina waziri wa mambo ya nje?

    Yah Jk z very right bcoz taifa liko kwenye blackout let him goooooooooo and not come back,unless aje na umeme.
  10. redwine

    Mrema TLP na picha ya aibu

    Duh!Mungu atamsaidia tu na ipo siku hatasumbuliwa na udende,manake mataila ndo huwa wanasumbuliwa kwa sana na hil tatizo.
  11. redwine

    David Kafulila afichua wabunge wala rushwa, sasa kamati yaundwa kuwachunguza!

    Duh,tena pipi za ivory ili wasilale,wangejitahid kupunguza kunywa pombe manake huwa hangover ndo inawasumbua.
  12. redwine

    Kikwete akutana na Bill Gates Dar es Salaam

    yah ata mi nimeipenda haswa ili ya barabara uko kigoma.
Back
Top Bottom