Recent content by redo

  1. R

    Ufutaji uchaguzi Zanzibar, nani nyuma ya pazia?

    Mungu anatuvumilia sana watanzania. Ila ipo siku yanayotokea kwa wenzetu yatahamia kwetu. Kuna miungu watu hapa tz wanaloamua liwe wanahakikisha linakuwa. Tulipofikia kubaya
  2. R

    January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    Mungu ndie mwamuzi wa mwisho. Mapenzi yake yatimizwe.
  3. R

    Mama Samia afunika kwa kampeni zake Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza

    Gamba gumu uwe na maisha marefu heri ya wewe utakaekuwa hai milele.
  4. R

    Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

    Asante sn pesandogo. Ubarikiwe ninafanyia kazi ushauri wenu.
  5. R

    Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

    Yaan mume wangu tangu tuoane sikuwahi kumuomba pesa ya mahitaji yangu au matumizi binafsi. Na hata mahitaji na majukum ya ndan ada za watoto nk tulikua tunasaidiana. Nguo, viatu nk nilijitahidi kumpamba hajui kununua soks underwear, mikanda sendoz vest nk. Nikienda kufanya shoping namfanyia hii...
  6. R

    Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

    Asante wote. Ni kweli sio ndoa zote mbaya lakin asilimia kubwa za ndoa ni maumivu. Mke akiwa mwema mume mkorofi. Mume akiwa mwema mke mkorofi. Jaman sijui kwanini huwa tunasahau upendo wa mwanzo. Yana mume wangu
  7. R

    Sitamani mapenzi, nimekinai kabisa

    Habari zenu, Poleni na majukumu pamoja na pilika za siasa. Mimi ni mama mwenye mume na familia kiumri ni miaka 38. Ni mfatiliaji mzuri wa habari za huku leo nami nineona niwape ya kwangu. Kifupi nimechoshwa na mapenzi, sitamani mapenzi, nimekinai sitaki hata kusikia habari zake. Mbaya zaidi...
  8. R

    "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

    Pasco tupo pamoja na unazidi kunipa nguvu zaidi. Naomba unisaidie ktk hili. Nikiwa mdogo nilikua nikiwaza kitu kinatokea. Mfano tulikua na jiran yetu ambe tangu nikae hapo sikuwai kumuona. Siku moja huyo jiran alitoka nje bibi yangu akamsalimia. Nikamuuliza bibi mbana huyu simjui akasema...
  9. R

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Siku mh lowassa alipokuwa akizungumza na wanawake ant alikuwepo tena alikua kihere here kushika keki na wopa kuipeleka. Leo anajifanya anampigia debe magufuli. Aende zake km alisaliti ndoa yake na kuzaa na mnenguaji nita shangaa nini akisalit chadema. Akwende atoe uchafu wake
  10. R

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Ant Ezekiel aliongeza nini alipikuwepo na amepunguza nini kuondoka kwake. Kinachoniuma ikiwa kweli walipewa hiyo mil 50.,Serikali ina dhambi kubwa pia hata mimi kodi yangu ipo kwenye hiyo pesa. Watu wanakufa hosp kwakukosa dawa wao wanachezea pesa. Na walaniwe wote wanaochezea pesa ya wananchi...
  11. R

    Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

    Huyu alieleta hii mada hata jiran zake wana kazi nahisi kila siku anawafatilia kujua wamekula nini, wakila kuku atataka kujua pesa ya wamepata wapi. We badala ya kujadili maisha yako na familia yako unaumiza kichwa kujua ya fred yatakusaidia nini.acha ujinga
  12. R

    Nionavyo: Azam Energy Drink ina madhara ukiitumia vibaya

    Nashukuru sana mimi nulikua mtumiaji.mzuri sana wa enegy lkn kila.nikitumia nilikua.najisikia vibaya sana. Hata meno huniuma sana. Numejifunza kitu.kuwa nilazima nisome.maelezo kabla sijatumia
  13. R

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Pole sana mimi nina watoto wengi wakike wakwangu nawengine nalea. Wotevni wakubwa. Miaka 3 iliyopita nipata mtoto wa kiume na tunapoishi kila nyumba ina geti. Mwanangu hata alikua akiona watu wengi anaogopa na kulia sana. Tukienda kanisan alikua anashangaa sana na wimbo ukianza yeye hulia...
  14. R

    Ukimtukana Mama wa mtu, umeruhusu na Mamio atukanwe!

    Angatukana mara moja tungejua ulimi uliteleza lakina akarudia tena kwa msisitizo. Dah! Sikutegemea km hicho ndicho alikusudia ili kumnadi mgombe wake. Kazi ipo
Back
Top Bottom