Ukimtukana Mama wa mtu, umeruhusu na Mamio atukanwe!

Ukimtukana Mama wa mtu, umeruhusu na Mamio atukanwe!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Hili halina ubishi !
Kwa mfano huohuo ndivyo ambavyo ukianza kumtukana mtu , kwa kumwita MPUMBAVU , LOFA hakuna shaka nawe umewasha taa ya kijani utukanwe !

Hususa pale utakapo watukana viongozi wenye wafuasi lukuki !
Impact ama mrejesho wake , utakurejea toka kwa viongozi na wafuasi wao .

Sikutaraji mzee (Rais mstaafu) mwenye kuheshimika ku'miss behave kivile !
Nikizingatia upande wa pili uliyoshambuliwa lugha hizo wana umahiri nazo kisawasawa !
(ni kama vile namuona Tundu Lissu , Godbless Lema anajibu mapigo)

Shughuli ipo !
 
Mkapa ni LodiLofa Mpumbavu.
Jf mna kazi kama viongozi wanapigia mstari maneno haya sasà sijui huku mtafanyeje.
 
Mkapa anazeeka vibaya,hata hivyo ana hofu kubwa mtu wake akishindwa anaweza kuulizwa juu ya ufisadi na wizi wake alipokuw madarakani.Ni yeye aliye mpumbavu!
 
Hili halina ubishi !
Kwa mfano huohuo ndivyo ambavyo ukianza kumtukana mtu , kwa kumwita MPUMBAVU , LOFA hakuna shaka nawe umewasha taa ya kijani utukanwe !

Hususa pale utakapo watukana viongozi wenye wafuasi lukuki !
Impact ama mrejesho wake , utakurejea toka kwa viongozi na wafuasi wao .

Sikutaraji mzee (Rais mstaafu) mwenye kuheshimika ku'miss behave kivile !
Nikizingatia upande wa pili uliyoshambuliwa lugha hizo wana umahiri nazo kisawasawa !
(ni kama vile namuona Tundu Lissu , Godbless Lema anajibu mapigo)

Shughuli ipo !

Tumsamehe jamani hizi whisky za india naona made alizidisha kipimo
 
Mimi nauliza kama uliweza kumchagua lofa kwenye sehemu nyeti kwenye serekali yako kwa miaka 10 wewe utakuwa nani..? sioni vilaza wa ccm wakinijibu
 
Angatukana mara moja tungejua ulimi uliteleza lakina akarudia tena kwa msisitizo. Dah! Sikutegemea km hicho ndicho alikusudia ili kumnadi mgombe wake. Kazi ipo
 
Back
Top Bottom