MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Nimeshasema maelezo hapo unataka nikufafanulie kitu gani tena? achanganye Asali kijiko 1 na chumvi ya unga kidogo sana awe anamsgulia mtoto kwenye ulimi kila siku mara 1 kwa muda wa siku 7 ataweza kusema.

Sawa mkuu imeeleweka tunashukuru kwa utibabu huu
 
Nimeshasema maelezo hapo unataka nikufafanulie kitu gani tena? achanganye Asali kijiko 1 na chumvi ya unga kidogo sana awe anamsgulia mtoto kwenye ulimi kila siku mara 1 kwa muda wa siku 7 ataweza kusema.

Hivi mtoto kuchelewa kuongea ni tatizo la ulimi au ubongo/ ufahamu?
 
Nilishampeleka wakashauri nimpeleke shule ya autism ila hakupewa dawa yoyote. Hivi autism wanaweza kuongea kweli?

Wengine wanaongea lkn ni lifelong dissability ingawaje anaweza ku improve, usimpeleke kwenye shule za autism anaweza akazidi kwakuwa atawacopy wenzake jitahidi aende shule za kawaida na awe anacheza na wenzake hata kama hataki mlazimishe, na pia angalie aina ya vyakula anavyokula kwa ajili diet nayo inasaidia sana , na wengi wanakuwa na allergy akila wheat na pia fizzy drink kama soda especially cocacola na juice punguza anywe sana maji na juice za kutengeneza i mean fresh one, ww huko bongo au nje ya nchi?
 
Nipo dar ndungu yangu nimehangaika sana kinachonishangaza Tabia zake ni tofauti na watoto wenzake
 
Asanten sana wadau maana hata mimi wangu naona manenno mengi hatamki, na ana 1.8year.
ila anaelewa kila kitu.anajua dada, mama,baba, kaka, sante, na mengine machache tu mojamoja tu.
 
Pole sana mimi nina watoto wengi wakike wakwangu nawengine nalea. Wotevni wakubwa. Miaka 3 iliyopita nipata mtoto wa kiume na tunapoishi kila nyumba ina geti. Mwanangu hata alikua akiona watu wengi anaogopa na kulia sana.

Tukienda kanisan alikua anashangaa sana na wimbo ukianza yeye hulia. Alichelewa sana kuongea ila niliamua kumpeleka shule kwa sasa angalau anaongea na amechangamka na anapenda kucheza na wenzake. Mazingira yanachangia sana wakati mwingine.

Pole kwan hata mimi nilikosa aman sana, sana.
 
Changanya Asali na chumvi kidogo mpaka katika ulimi wake kila siku asubuhi atasema kwa muda usiozidi siku 7 tumia kisha uje unipe feedback mkuu.

Mhh samahani mzizi mkavu.hii dawa yako kama kuna mada nlishaionaga humu kua io asali mix chumvi ni dawa ya kuhara!!.sasa hapa kwako ni tiba ya kuongea!!
 
Jamani nlisikiaga na mtoto akipewa ukoko wa ugali pia anawahi kuongea au kupewa ubwabwa kwenye mwiko!
 
Back
Top Bottom