Duh! Kweli wewe msomi Kilumbia kabisa. So Bashitic, and a Kolomigean indigenous. Kwanza uliombwa urafiki, ukashawishiwa na picha ukakubali. Pili, ukaambiwa ukilipa mahari ya 5m, utarejeshewa 150m, ukilaza usiokuwepo kwa mwanaume, asiye Bashite. Tatu ukatambulishwa kwa mlezi/ba mkwe anaelea...
Kweli we ni Kilumbia original, so unaufurahia na kupreiz madudu yanayofanyika ktk mahakama zetu, kwa kuwa mahakama ya rufaa ipo? Mahkma ya rufaa huona itakuwa na madudu mengi yasioendana na muda wake? Raia wangap wanateseka kutokana na kutumikia kifungo cha shinikizo la serikali? Acha ukilaza ww.
Issue ni, je Bashite D. alisoma na akafaulu? Je kama alifaulu kwa nini alitumia cheti cha Pale Makondakta? Je vyeti vipo au aliwashia moto? Ha ha ha ya Bwna yule na Makondakta!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.