Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Hahahaa nakumbuka nilimnasua mdogo wangu wa damu dakika za mwisho,, tena nilitumia tu ubabe kama kaka yake maana alikuwa hanielewi
 
Juan huu wizi ni wa siku nyingi sana... tena miaka hiyo fb ilikuwa haina hata app.
lakin mwenzetu kapigwa za uso leo... sasa sijui ni mgeni na hii mitandao ya kijamii
Ndomaana Nashindwa Kuamini Hakika
 
Duh! Kweli wewe msomi Kilumbia kabisa. So Bashitic, and a Kolomigean indigenous. Kwanza uliombwa urafiki, ukashawishiwa na picha ukakubali. Pili, ukaambiwa ukilipa mahari ya 5m, utarejeshewa 150m, ukilaza usiokuwepo kwa mwanaume, asiye Bashite. Tatu ukatambulishwa kwa mlezi/ba mkwe anaelea yatima. Duh! pole mana ulijua hutosota kabwe na bahasha ya kaki kusaka kazi, mmh!!
 
Jamn mbona wachoyo nyie, embu msaiden mwenZenu huo uchawi akamroge huyo jambawaz [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! Wewe utakua wa Koromije. Na pia utakua bwana mdogo. Na pia utakua ni mtu wa supplementary hapo chuoni. Haya mambo ni ya zamani sana.
 
Doh mkuu umepigwa 2017 wakati hizi mambo mimi tangu 2012 na sikutapeliw hivo na wala kipindi hiko sikuwa na elimu ya chuo ila wewe Elimu ya chuo+2017 Hahahah pole mkuu dah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Dah Pole Sana.
Nacheka Kama Mazuri Vile.
Maana Huu Wizi Mm Nakumbuka 2010 Ndo Nilipousikia Sasa Najiuliza Ww Ndugu Yangu Utakuwa Na Mda Gani Katika Mambo Ya Digital,Technology,Social Networks Kwa Ujumla. Maana Duh!!
Mimi hua, Nikipata Ujumbe km huo wa story hiyo hua nawatolea matusi moja kwa moja sitaki mazoea na Nyau, usawa huu wenyewe mgum kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom