lucas mollel
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 255
- 133
Mkataba uheshimiwe,haraka za nini,si ulitingisha kiberiti?kimejaa.Usifikiri mwanamme kulala kitanda kimoja na wewe ndo ticket ya kumpata kingono.Hata wao ni wagumu,labda umkute ni fuska
mi nishalala na mwanaume mpaka asubuhi na hatukusex inawezekana kabisa mkuuMimi najua inawezekana.. na nina uhakika kabisa kuwa inawezekana, kila kitu kinaanzia akilini mwako
na wewe tunga yako .njoo umuoneHii story ni ya kutunga,,, ila pia wapo watu hawa du mpaka ndoa,,,, wala sio mmoja,,,
Nakubaliana na wewe kabisa...mi nishalala na mwanaume mpaka asubuhi na hatukusex inawezekana kabisa mkuu
Duh, kwenu nyie wenye matatizo. Hiyo kitu ni ngumu sana. Hata vitabu vitakatifu vimeeleza hii vizuri. Biblia inasema ikimbie zinaa. Kwa sabb huwezi kuomba maombi et mwili usisisimke, mwili kusisimka ni zawadi tuliyopewa na mwenyezi mungu. Hata padri au askofu au nabii akikaa karibu na mwanamke mzuri lazima mwili umsisimke na atazini nae tu.Mimi najua inawezekana.. na nina uhakika kabisa kuwa inawezekana, kila kitu kinaanzia akilini mwako
kama huwezi ni wewe mimi nilishawai kulala na jamaa mara kibao bila sex na tukaja kusex badae alikuwa fresh tuDuh, kwenu nyie wenye matatizo. Hiyo kitu ni ngumu sana. Hata vitabu vitakatifu vimeeleza hii vizuri. Biblia inasema ikimbie zinaa. Kwa sabb huwezi kuomba maombi et mwili usisisimke, mwili kusisimka ni zawadi tuliyopewa na mwenyezi mungu. Hata padri au askofu au nabii akikaa karibu na mwanamke mzuri lazima mwili umsisimke na atazini nae tu.
Watumishi wa mungu wengi wameangushwa kwa utaratibu huu.. Wanadhan ukiwa mtumishi unaweza kuzuia mwili usisisimke, wanashindwa na hatimae wanazini.
Mfalme Daud alishindwa akazin, wote akina suleiman, walishindwa kujizuia. Ni ngumu. Hata Clinton pamoja na Urais wake alishindwa. Alipoiona tu kwa yule demu, mwili ulimsisimka.
Mkuu hata Yesu aliwashangaza wanafunzi wake, walipomkuta akiongea na mwanamke. Kwa sabb walijua kuwa ni vigumu sana kujizuia ukiwa na mwanamke peke yenu chumban tena mwanamke alie willing kulala nae.
Labda kwa kizazi hiki chenye matatizo mengi ya upungufu wa nguvu za kiume.
Nakuhakikishia haiwezekani
umeendekeza tamaa mbele, sikushangai... usitumie mifano ya mfalme Daudi na mwanae kuhalalisha tamaa zako, huku ni kupotosha.. wapo mitume na manabii wengi tu walioweza lkn hampendi kuwatolea mifano..Duh, kwenu nyie wenye matatizo. Hiyo kitu ni ngumu sana. Hata vitabu vitakatifu vimeeleza hii vizuri. Biblia inasema ikimbie zinaa. Kwa sabb huwezi kuomba maombi et mwili usisisimke, mwili kusisimka ni zawadi tuliyopewa na mwenyezi mungu. Hata padri au askofu au nabii akikaa karibu na mwanamke mzuri lazima mwili umsisimke na atazini nae tu.
Watumishi wa mungu wengi wameangushwa kwa utaratibu huu.. Wanadhan ukiwa mtumishi unaweza kuzuia mwili usisisimke, wanashindwa na hatimae wanazini.
Mfalme Daud alishindwa akazin, wote akina suleiman, walishindwa kujizuia. Ni ngumu. Hata Clinton pamoja na Urais wake alishindwa. Alipoiona tu kwa yule demu, mwili ulimsisimka.
Mkuu hata Yesu aliwashangaza wanafunzi wake, walipomkuta akiongea na mwanamke. Kwa sabb walijua kuwa ni vigumu sana kujizuia ukiwa na mwanamke peke yenu chumban tena mwanamke alie willing kulala nae.
Labda kwa kizazi hiki chenye matatizo mengi ya upungufu wa nguvu za kiume.
Nakuhakikishia haiwezekani
Watu wenye upungufu wa nguvu za kiume ndo wenye kuweza hivo. Wengine mpaka siku hiyo aji boost kwanza. Kama hakujiboost hawezi na mnalala kama kaka yako.kama huwezi ni wewe mimi nilishawai kulala na jamaa mara kibao bila sex na tukaja kusex badae alikuwa fresh tu
Atadindisha siku ya ndoa baada ya kutoka ukumbini kwenda honey moon! Vitu vingine havihitaji ujuaji...kama wakati wamelala wote haikudinda .. sababu wanaume wanadinda usiku na asubuhi lazime kiwe mnara kama yupo lijali kweli.. sasa mwenzangu mmelala hata kudinda kwa asubuhi hakupo teh hata me ningetaka kujaribu kukutana na kidudu kimelegea mpaka ukisokomeze na kidole na hana mikiki sababu akijivuta tu au ukapiga chafya kimechomoka ote mae ajaribu tu
Hahahaha Huyo Dada nae hana msimamoSalam aleikum wadau,
Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu mnajua bana sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off saa zingine on kapata mchumba sharti la kwanza mwenyewe mdada akamwambia jamaa no sex till marriage jamaa akamwambia poa hata mimi nataka mwanamke kama wewe.
Imefika katikati mdada anataka kujaribu amemtega jamaa wewe hadi amelala kwake ila jamaa hapigi gemu kabisa na sasa anaprocess ndoa. Sasa huyu member mwenzetu anadai ana hofu anataka gemu kwanza mimi hata simuelewi jamani anaomba ushauri maana nimempa ID yangu hapa anasoma.
Matusi muache jamani, shaurini kiungwana mambo ya mahusiano ni magumu jamani.
Wala sio hivyo,,,,,nilidate for 1 year,,,bila kudu,,,,mwishoe akaolewa na mwingine,,, hii tabia ya kuchovya,,,ni ya kishetani na imekosea heshima ndoa nyingi na kuleta maumivu kwa wengi,,,,,poleni mliodanganywa kwa jina la ndoa kumbe jamaa alitaka tu kuchovya,,,,Labda ukiniona tu, unioe mara moja.
Mkuu hujui kuandika?Kama chakula kinaanzwa kuhonjwa kwanini nyie msihonjwe urojo wenu
hahahaa itakuwa jamaa mind yake psychologically hakuiandaa kuwa hyo siku ata do something so thats why kitu kikarest bila kushtka but kwa harakaharaka tu jamaa atakuwa na shida kidgokama wakati wamelala wote haikudinda .. sababu wanaume wanadinda usiku na asubuhi lazime kiwe mnara kama yupo lijali kweli.. sasa mwenzangu mmelala hata kudinda kwa asubuhi hakupo teh hata me ningetaka kujaribu kukutana na kidudu kimelegea mpaka ukisokomeze na kidole na hana mikiki sababu akijivuta tu au ukapiga chafya kimechomoka ote mae ajaribu tu
Jogoo hapandi mtungi mipango ndoa ya nini?Labda anahisi jongoo hapandi mtungi