Recent content by real lyf 2015

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Mbona lowasa hayupo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa aachiwa zigo la kujinadi huku akiwa hana uwezo!

    Kweli wewe jinga lao
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vyumba vinapangishwa

    nina chumba na sebule full tiles, gipsam, choo ndani, ni nyumba nzuri gari inafika mpaka ndani, ina fensi, eneo kubwa la kupaki magari,usalama wakutosha, luku yako mwenyewe, maji yapo humo humo,kodi laki moja, miezi 6. nyumba ipo makoka mwisho... changamkia ofa Kwa mawasiliano piga 0714260412
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Umeona mbali kidogo. Ila macho yako. Si zaid ya sisiem,,sisiem wana mikakati mingi saana
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Nikuulize swali moja.. ukiwa unaoga mtoni. Akaja chizi akachukua nguo zako na kukimbia nazo.. je utamkimbiza. Dr slaa ni kweli nae alikirupuka kwa kumuaniaka gwajima kwa mambo yake. Lakin gwajima yeye ni asikofu kama anavyojiita , ilipasa atumie hekima ya kiasikofu katika hili..bora...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Ukweli utabaki kuwa kweli.. Waumini wajitafakari saaana
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Tatizo sio..kumbuka kuwa slaa ni icon ya taifa..na gwajima pia ni icon ya taifa.. Nyuma ya hoa watu wawili kuna kundi kubwa la watu. Kama viongozi wetu wanafanya ndivo sivyo lazima tujadili. Ila huyo asikofu kwa kweli amekurupuka kama kawaida yake. Ila mimi simshangai ,,maana kuna kipindi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania DSTV complete set kwa gharama nafuu

    Na ya package je... na lazima.ulipie miezi mitatu. Chukulia package ya chini kabsa ambayo ni tsh 17000 mara tatu ni 51000 Kisha chukua 51000+99000 jumla kaki na nusu
  9. R

    JamiiForums Tanzania DSTV complete set kwa gharama nafuu

    Sio wakala, anauza kitu ambacho alishakitumia
  10. R

    JamiiForums Tanzania DSTV complete set kwa gharama nafuu

    Mpigie simu mhusika.. huenda akapunguza bei
  11. R

    JamiiForums Tanzania DSTV complete set kwa gharama nafuu

    Pata dstv compete set. Used kwa tsh 110,000, Kwa wanunuzi tu. Wasiliana na muuzaji 0714260412 Muuzaji yupo ubungo
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Sijui hata hao waumin wake kawalisha nini
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri pls

    Kama mwanza sehem zipo nyingi saaana..nyegezi..buzuruga..city centre.au kule fery
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri pls

    Sio lazima iwe kkoo.. anaweza chuku sehem yoyete ile yeye watu na frem ya bei rahisi
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri pls

    Sasa hapo umeshauri,, Au umemuelekeza sehem ya kupata ushauri
Back
Top Bottom