Recent content by rbt

  1. rbt

    Kitendo cha Mwakalebela kuita waandishi na kulalamika ni Ushamba

    Kwani hao TFF si ndio wana hujumu mpira wa Tanzania.Ivyo alivyo ndo inatoa picha halisi ya uozo wa shirikisho au wauaji wa mpira wa Tanzania
  2. rbt

    Nauza nyumba (Dodoma-Nkuhungu North) Tsh 90 mil

    Aya mama Magdalena hizo.
  3. rbt

    Nauza nyumba (Dodoma-Nkuhungu North) Tsh 90 mil

    View attachment kwanza
  4. rbt

    Shule zote za sekondari ziwe na masomo ya VETA

    Uko sahiii kwa 500%
  5. rbt

    Nauza nyumba (Dodoma-Nkuhungu North) Tsh 90 mil

    Nauza nyumba Dodoma nkuhungu north, Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya mizigo.ila mazungumzo yapo .namba ya simu 0714791775.
  6. rbt

    Nimeshindwaa kulala natafakari mengi...

    Kama ume sita usifungue labda uwe na uhakika wa uwezo wa kujilinda
  7. rbt

    Msaada shule bora ya sekondary ya michezo

    Fountain gate Dodoma kuna kama academy wameanzisha kwa wale wanao cheza mpira au wana taka kuendelezwa kwa mpira wanalipia kwa miezi mitatu 200000 na kitu ila kama kwa masomo ya mpira ila kwa masomo mengine kuna kiasi pia itabidi alipie wana jitahidi kidogo Sent from my TECNO P701 using...
  8. rbt

    Vijana wafukua sarafu za dhahabu za miaka 1,100 Israel za enzi ya Abbasid

    Kuliko nchi yako .Fanya tafiti kwa kina. Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
  9. rbt

    GE2020 Misungwi: Alexander Mnyeti hajapita bila kupingwa, Mgombea wa CHADEMA ameteuliwa kupambana naye

    Ana mnyeti ana pita vizuri mana hali ni tofauti uku chini na mnavyo sema. Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
  10. rbt

    Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Sidhani kama pep si kocha mzuri kama unavyo dai ila una haki ya kuwa na mtazamo wako.ila kwa mtazamo wangu pep ni kocha moja ya makocha bora ulaya ila muda mwingine kuna pokuwa na mabadiliko kwenye timu lazima kuna wachezaji wataachwa tu mfano ile timu ya kina ronaldhino,etoo na Santos wakati...
  11. rbt

    Kabila la Wanyakyusa wanaongoza kwa matatizo ya kifamilia

    Kama Mimi naona ubabe,ugomvi na visasi . Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom