Aya mama Magdalena hizo.View attachment 1688224View attachment 1688225View attachment 1688226Unakuwa kama mke wa mtu anayeenda kugongwa guest house! Anaitwa Magdalena lakini baibui gubigubi kabakisha pua tu ili aweze kupumua. Weka picha ya nyumba badala ya kutuwekea pua ya nyumba huku nyumba mzima umeificha.
Uwe mkweli aisee sema nauza ukuta, geti na sakafu ya pavementsNauza nyumba Dodoma nkuhungu north,
Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya mizigo.ila mazungumzo yapo .namba ya simu 0714791775.
View attachment 1688135
Kivipi, kwamba hiyo nyumba haina thamani hiyo? Any way labda huwa mnapata material kiubweteUwe mkweli aisee sema nauza ukuta, geti na sakafu ya pavements
Unadhani tunaishi mapangoni? Hiyo nyumba thamani yake ni 50 mKivipi, kwamba hiyo nyumba haina thamani hiyo? Any way labda huwa mnapata material kiubwete
kumbukeni kujenga sio ishu ya kitoto
Iko sehemu itakayojengwa barabara ya magari ya mizigo, je itabomolewa lini hiyo nyumba na kwa nini unataka kutuingiza mkenge wakati umeshalipwa na serikali kuhama hiyo sehemu ili barabara ijengwe? TAKUKURU tafadhali njooni mumkamate huyu msanii.Nauza nyumba Dodoma nkuhungu north,
Ina master moja ,vyumba viwili vya wageni,jiko, choose cha public, stoo, choo cha nje na jiko la nje. Ipo karibu na barabara itayojengwa ya kupitisha magari ya mizigo.ila mazungumzo yapo .namba ya simu 0714791775.
View attachment 1688135