Ni nyumba ya kisasa kabisa ina details kama ifuatavyo;
1. Ina vyumba vitatu silf contained,sebule na dining
2. Ina uzio wa matofali
3. Ina parking kubwa pamoja na bustani ya kupumzika
4. Jiko na stoo vipo ndani kwa ndani
5. Ipo Tabata segerea karibu na kituo cha mabasi madogo
Kujua bei...
Kirubutu vipi ndugu? Umewasilisha? Lakini sio issue najua umekosea kuandika tu, lakini still tunatakiwa tujadili tutawabadilishaje hawa watu kama kirubutu alivyosisitiza!!!
Watanzania wenzangu, inasikitisha sana mtu kuona au kuokota kitu cha mwenzako lakini unashindwa kukithamini au kukipeleka kwenye chombo cha usalama. Angalia tofauti;
1. Kizazi cha zamani (Babu na Bibi zetu)
Zamani enzi za babu na bibi zetu walikuwa wakiokota hata funguo moja walijaribu...
Wanajukwaa naomba nisaidieni. Hivi huu utaratibu wa kila kitu unachotaka kununua au kukodisha ni lazima awepo dalali? Imefikia wakati madalali wanapata faida kuliko wenye mali inayouzwa au kukodishwa hatua ambayo inatuumiza sisi wateja!!!!
INANIUMA SANA, mbona kuna nchi ambazo ni masikini kama...
"Hii itasaidia kupandisha heshima, utiifu, ukakamavu na ufanisi wa vijana"
Ni kauli ya mheshimiwa mmoja kufuatia Serikali kutangaza tena na kuthibitisha kuwa, kuanzia mwaka huu ni lazima kwa kila kijana atakayemaliza form VI apitie JESHI kisha ndio aende chuoni au aendelee na mambo mengine ya...
Jackson Odoyo, Zanzibar
KESI ya ajali ya meli ya MV Spice Islanders iliyofunguliwa dhidi ya manahodha wa meli hiyo na mmiliki wake, imesitishwa.Kesi hiyo ambayo jana ilitajwa kwa mara ya pili katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, imesitishwa kupisha uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.