Apple iPhone 4

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Waungwana naombeni msaada. Kuna dada yangu amesahau phone lock code ya iPhone yake.
Je, inawezekana kuiunlock?
Wataalamu wa Jigambe, michuzi, Jf na site zingine nawaomba msaidieni huyu dada jamani, anaonekana kuchanganyikiwa.
 
Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
649
293

Mwambie awasiliane na jamaa huyu anaweza msaidia manake ndiye alinipa msaada kwenye iphone yangu yalitokea hayo hayo 0767801900 ajieleze tu kwamba ana I phone imejilock, najua alikuwa anafanya updating manake ndiyo mchezo wake hutakiwi kuaccept udating kama hujui ku unlock
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
279
mwambie acpende kuweka lock wakati ni msahaulifu hapo hana ujanja ni mpaka aiflash
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,448
8,283
Mwambie awasiliane na jamaa huyu anaweza msaidia manake ndiye alinipa msaada kwenye iphone yangu yalitokea hayo hayo 0767801900 ajieleze tu kwamba ana I phone imejilock, najua alikuwa anafanya updating manake ndiyo mchezo wake hutakiwi kuaccept udating kama hujui ku unlock
Au huyu hapa 0754501807Pale samora.
 
rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
ok,
Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone.
CHONDECHONDE jamani.
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,912
706
ok,
Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone.
CHONDECHONDE jamani.
yeye mwenyewe anaweza akaifungua mafundi wanachaji pesa nyingi sana afunge itunes kwenye mashine yake mimi nitaamwelekeza jinsi ya kufanya
 
Brakelyn

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,182
516
ok,
Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone.
CHONDECHONDE jamani.

fmippasscode20101116.jpg

kama amesahau passcode kinachotakiwa hapo ni kuRestore IPSW ya simu, jaribu kutembelea na mafundi wa uhakika wa simu ucheki kama kuna uwezekano wa kuUnlock bila Restoring firmware'.....
 
cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
kijana kama una hela nitafute nikusaidie...; note: ukicheza cheza ku update firmwire kwa gues work the more trouble you make....kama unataka online find me skype;nikuulekeze step by step...uwe na itunes version 10.4 na kuendelea jombaaaaaa
 
Willy

Member
Feb 6, 2008
95
58
Hi
Try this
We all like messing with our mates phones when they’ve gone to the bar or bog, updating their Twitter or Facebook status with something wholly inappropriate. And if they’ve got an iPhone 4, then it doesn’t matter if they leave their phone locked because there’s a flaw in the security which allows you to bypass their security code and lock screen.

All you need to do is to tap the ‘Emergency call’ button, then enter three pound signs, hit the green call button and immediately press the lock button… and that’s it. You’re in.

Secret code which allows you to break into iPhone 4 | BitterWallet
 
kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
674
73
Na mimi nataka msaada wa ku-unlock ipad2 iyokuwa locked kwenye mtandao wa japan. msaada tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom