Nyumba ya kisasa inapangishwa!!!

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Ni nyumba ya kisasa kabisa ina details kama ifuatavyo;
1. Ina vyumba vitatu silf contained,sebule na dining
2. Ina uzio wa matofali
3. Ina parking kubwa pamoja na bustani ya kupumzika
4. Jiko na stoo vipo ndani kwa ndani
5. Ipo Tabata segerea karibu na kituo cha mabasi madogo
Kujua bei, Wasiliana nami kwa kupata contacts zangu kwenye www.jigambe.com au r.sharia@jigambe.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom