Recent content by Raymanu KE

  1. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa mahusiano mengi ya kimapenzi unatisha, wanaume tuwe macho

    Aisee 🤔
  2. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  3. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyumbu mmenyewa 😂
  4. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa kimapenzi na Mwanamke aliyekuzidi umri ni hatari Mkataba

    Porojo tu hizi hakuna ukweli wowote
  5. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Kuna msemo wa kiingireza unasema if you want to succeed in life normalize disappointing women every time. Mleta mada laiti ungelijua hayo maneno mapema yasingekukuta yaliyokukuta
  6. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania HESABU kitu cha ajabu

    Mimi mwenyewe niliishia kidato cha nne afu maths yenyewe nilipata F😂
  7. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuga kitambi

    Unajua maana ya " obesity"
  8. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Sio shida zetu, utajua mwenyewe na huyo mkeo
  9. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuga kitambi

    We jamaa acha matusi.Wanasemaga hujafa hujaumbika
  10. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

    Umepiga kwenye mshono mkuu Aya ya mwisho
  11. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani muda urudi nyuma nianze upya nilipokosea, ila nashukuru napumua

    Kwa mwanamke ni ngumu sana kuanza upya kama umri umesogea
  12. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakiwa kwenye siku zao(Hedhi) wanakuwa hatari kwenye mazao na watoto wachanga!

    Kuna watu watakuja kupinga na hili lakini ni ukweli kwa asilimia 💯. I'm saying this from my own experience
  13. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kevin Masagara😂
  14. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sio kwamba United walikosa hela ya kusajili elite players. Shida ni kwamba bado wako na Ile " fear factor" ya kusajili wachezaji kwa pesa nyingi kisha wafloap. Wachezaji kama Antony,Mount,Di Maria,Cavani na wengine wengi walisajiliwa kwa pesa nyingi Sana na wakafloap vibaya Sana.
  15. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyumbu tafuteni kocha wa kueleweka Yule Carrick ni tapeli tu hatawapeleka popote🚮🚮
Back
Top Bottom